mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Muvie za kiswahili hutazama waswahili.music hapo mnajaribu....
but movies za kiswahili nani hutazama,,.labda washamba wa ushago
Au unataka watazame wakikuyu??
Muvie za kiswahili hutazama waswahili.music hapo mnajaribu....
but movies za kiswahili nani hutazama,,.labda washamba wa ushago
tunajaribu au tunaweza??? which is whichmusic hapo mnajaribu....
but movies za kiswahili nani hutazama,,.labda washamba wa ushago
kupatwa kwa chuma chakavuHii ndio dar Kw picha moja alafu mtasema ni kigamboni mara sijui Pich ya zamani picha ya zamani blah blah ,ooh picha imeoigwa juu ya mawingu bla bla, ukweli ni huu dar ata kwa miaka mia moja haitawai fikia nairobi niView attachment 762408 View attachment 762409 View attachment 762410
nairobi katika ubora wake yaani hiyo city ni vichaka vya nyukiMrefu sana sio mchezoHalooooo tumepiga mkwanja mzee
wachagaa na wasukuma wiki ni waswahili pia?Muvie za kiswahili hutazama waswahili.
Au unataka watazame wakikuyu??
Nitakuonyesha moto. Endelea na upuhuzi wako.Niko JF mbona nisiquote JF?
Utoto ndio mmejaza,uzuri text zenu ni za swahili so hamuaniki ujinga kwa duniaakikuonesha ofisi ya gor mahia nitag😀😀
Fanya uwezalo wacha vitisho vya mabinti.Nitakuonyesha moto. Endelea na upuhuzi wako.
Usituchafulie thread kwa kuleta thread kutoka jukwaa la siasa. Ndozumuni lakutenga hizo thread humu JF. Kama hutaki huu utaratibu nenda Kenya talk. Hatutaki utoto humu ndani.Fanya uwezalo wacha vitisho vya mabinti.
Endelea kuleta hizo thread zakoFanya uwezalo wacha vitisho vya mabinti.
Kwa akili yako iyo picha yako inakaribiana na huu uchafu hapa chini, ukitoka nnje ya ka cbd ni slum tupu
Kamji kadogo sana
Àcha kutia haibu 😀😀😀Kwa akili yako iyo picha yako inakaribiana na huu uchafu hapa chini, ukitoka nnje ya ka cbd ni slum tupuView attachment 762727 View attachment 762728 nairobi ni mji wacha ujinga