Nairobi imekaa kama Iraq ! Why jamani ?? 😀😀 Haiko tofauti na Syria😀😀Kwa akili yako iyo picha yako inakaribiana na huu uchafu hapa chini, ukitoka nnje ya ka cbd ni slum tupuView attachment 762727 View attachment 762728 nairobi ni mji wacha ujinga

heheheh hasira ya nn sasa tuoneshe ofisi hata kama ni banda la gor mahia 😀😀😀😀Utoto ndio mmejaza,uzuri text zenu ni za swahili so hamuaniki ujinga kwa dunia
poa sana hiyo
aa wapi??Dar habari nyingine
Hiyo ndiyo nairobi check ilivyochakaa halafu watakuja hapa watakuambia CLASSIC CITY....
wakenya mna vituko....city yenu ni mbovu tu
mbovu tu hata mkiijenga upya.....mnajitutumua hapa wakati mazingira halisi ni kubovu tukiachana na photographerLangata road inafaa kujengwa upya
hatuzungumzii school buses hapa!!nyie wakenya mko na stress sio bure...sasa bus za 15million za maana huku shule za high school wanamiliki ndio mnajigamba mko juu...
Beautiful Mega City