Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua kitu funny ni Africa kuna country moja tu yenye imejaa wajinga.... Tz...... Niambie country gany inatumia kiswahili entirely Kama hio BONGO LALA YENU.... Kama Uganda wanaongea English na bado wako na kiganda yao Nigeria pia Congo ni French nyinyi mko DUNIA yenu.... aty maths mnafunzwa na kiswahili..?? Nkt! Kumaanisha mtoto WA class 3 kenya akifika Tz anakuwa Doctor[/Q
asiwe kubali asili yake ni mpumbavu, kiingereza ni lugha yenu? tunajivunia kiswahili, ndiyo lugha yetu inayo tutambulisha duniani.
 
Nyeri 😀😀😀
Nyeri.png
 
Unajua kitu funny ni Africa kuna country moja tu yenye imejaa wajinga.... Tz...... Niambie country gany inatumia kiswahili entirely Kama hio BONGO LALA YENU.... Kama Uganda wanaongea English na bado wako na kiganda yao Nigeria pia Congo ni French nyinyi mko DUNIA yenu.... aty maths mnafunzwa na kiswahili..?? Nkt! Kumaanisha mtoto WA class 3 kenya akifika Tz anakuwa Doctor
Mbona English haija wasaidia kupata employment hapo Kenya ?? Kwanza population yenu ndogo kuliko ya TZ😀😀 Pata kwanza ajila ujeutwambie swala English😀😀😀
jobs.jpg
 
Mbona hamtuambii tufike cbd? Venye tu mnaleta picha za cbd leteni za iyo mitaa hatutaki kufika juu ni mdomo tu unapiga😀😀😀😛😀😀😀😀Yaani pages 4000 mnarudia rudia cbd hadi inatia aibu, dar ni mji wa watu milioni 6 wale wanaoishi hapo cbd ata hawafiki 500k sasa tunataka kuona kwenye milioni 5.5 wanaishi plus pia utuletee izo picha za ringroad zinajengwa *****.
Sasa nie mnakimbilia hadi Mombasa, Kisimu na Kericho baada yakuhona CBD yenu imejaa uchafu pia mko na tower moja ya UAP😀😀😀 Buildings zenu nyingi fupi to 5 floors
c-fakepath-tour-nairobi-experience-01-lead.jpg
 
Back
Top Bottom