ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Niletee sehem ya nairobi yenye twelve lanes atleast one kilometerUpdated list
1. BRT
2. Cable Stayed Bridge
3. Toll road
Nairobi
1. UN Agency Headquarters
2. 12 lane highway
3. Uber helicopter
4. 3D Printer
5. LED lit buildings
6. Functional SGR
7. Rail Tunnel
8. Road tunnel
Barabara ni lane8Wacha kujifanya mpumbavu wacha nikusaidie kuhesabu View attachment 753733 hapo unaona lanes ngapi upande mmoja sasa jumuisha upande wapili *****
Kigamboni apoHii ndio dar kwa picha mojaView attachment 753973
ila we kwelikwanza mchokozi sana 😀😀😀
Tuonyeshe hiyo ya Dar uliyojumuisha za pembeni Na zikawa 10.Barabara ni lane8
Ukijumuisha na za pembeni ata dism tunakuwa na lane 10
Hii picha tulisabishana mwezi hata ujaisha unataka tubishane tena narudia i picha ilipigwa mzizima ikiwa foreground ..... ***** leta picha tuhesabu izo floors 37unasema mi sitachoka kuhesabu. ...hio ni mzizima ishavuka 35fl na ujenzi unaendelea
View attachment 753980
Kwenye alama nyekundu ni 6 upande mmoja sasa ongezea izo zingine sita upande mwingine zinakuja 12 alafu mbona mnabisha na kitu unaona na macho. ....smhBarabara ni lane8
Ukijumuisha na za pembeni ata dism tunakuwa na lane 10
hio ni kigamboni tena haijaisha hapo😀😀😀
We NI English haujui?? Ama hio pia ulifunzwa na Kiswahili.... There is a difference between join and follow yaani nlikuwa guest jamii forum ALAFU nikajoin ndio ni changie kwa hii THREAD yenye ilianza 2017 Jan 08.... Umeshika??
so ume join kuja kuandika upuuzi 😀😀😀😀😀 au umekuja kusaidia wenzio 😛😛😛😛We NI English haujui?? Ama hio pia ulifunzwa na Kiswahili.... There is a difference between join and follow yaani nlikuwa guest jamii forum ALAFU nikajoin ndio ni changie kwa hii THREAD yenye ilianza 2017 Jan 08.... Umeshika??
nioneshe cbd hapo??😀😀😀😀 kigamboni unataka kulazmisha CBD bogus kweli wwMama kigamboni na cbd ndio hio hapa chini *****View attachment 754075