Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua kitu funny ni Africa kuna country moja tu yenye imejaa wajinga.... Tz...... Niambie country gany inatumia kiswahili entirely Kama hio BONGO LALA YENU.... Kama Uganda wanaongea English na bado wako na kiganda yao Nigeria pia Congo ni French nyinyi mko DUNIA yenu.... aty maths mnafunzwa na kiswahili..?? Nkt! Kumaanisha mtoto WA class 3 kenya akifika Tz anakuwa Doctor[/Qwazungu
ndio maana nasema wewe hujitambui..umesoma shule gani wewe??..kitendo cha nyinyi wakenya kutumia English,Congo kutumia French,n.k tafsiri yake ni kwamba bado mna chembechembe za utumwa..yani bado mnawatukuza hao mabwana zenu!!amkeni nyinyi oneni wenzenu wa eSWATINI wanabadilisha jina kutoka Swaziland walilopewa na wakoloni wa kiingereza (malikia)na kuitwa jina lao eSWATINI..!!ni bora uwe maskini lakini u huru,si mtumwa!!
suala la ujinga nikwambie kweli ktk huu ukanda wa afrika mashariki hakuna taifa lenye watu wajinga kuzidi nyinyi wakenya!ona raisi wenu kakubali ushoga utambulike nchini kwenu ili kuwafurahisha wazungu???yaani wewe na midevu yako yote hiyo uolewe na mwanaume mwenzio?????
 
H8rs gonna H8
26777754227_7898e0d7a9_o.jpg
 
leo serekali imeanza kusambaza mabomba ya gesi kweney nyumba za wananchi kwa bei nafuu wataanza na maeneo ya mikocheni,ubungo,kinyerezi,msasani etc itakua na bei nafuu kuliko mkaa😀😀😀😀
tukio kama hili linaeza kuwachukua wakenya 100yrs 😛😛😛 povu,hasira,ghadhabu,chuki,hasidi ruksaaa
B1.jpg
e2388c2d81-gesi-mtwara.jpg
mitambo.jpg
TPCD.JPG
CnbbeeE005028_20151012_NBMFN0A002_11n.jpg
EAGasPlantinSongosongo.jpg
GESI-660x350.jpg
Kiwanda-cha-kuchakata-gesi-asilia-cha-Madimba-mkoani-Mtwara-640x424.jpg
Tz.jpg
PICHA%2BNA%2B2.JPG
IMG_20150108_084129.jpg
 
leo serekali imeanza kusambaza mabomba ya gesi kweney nyumba za wananchi kwa bei nafuu wataanza na maeneo ya mikocheni,ubungo,kinyerezi,msasani etc itakua na bei nafuu kuliko mkaa😀😀😀😀
tukio kama hili linaeza kuwachukua wakenya 100yrs 😛😛😛 povu,hasira,ghadhabu,chuki,hasidi ruksaaa
B1.jpg
e2388c2d81-gesi-mtwara.jpg
mitambo.jpg
TPCD.JPG
EAGasPlantinSongosongo.jpg
Tz.jpg
PICHA%2BNA%2B2.JPG
Hili Donda bado halijapona. This is pathetic.
 
soma maelezo hapo juu povu, hasira, hasad, ghadhabu ruksa😀😀😀😀😀😀
Binadamu Timamu angetambua kuwa hayo Ni maendeleo mnayofanya Tz. Which is great. Now upuzi huja pale unapofikiri kuwa your progress is pain to Kenyans. But why? Ni utoto? Wazimu? Ushamba?.
 
Binadamu Timamu angetambua kuwa hayo Ni maendeleo mnayofanya Tz. Which is great. Now upuzi huja pale unapofikiri kuwa your progress is pain to Kenyans. But why? Ni utoto? Wazimu? Ushamba?.
pain itakuja pale mtakapongeza ununuaji wa gas tanzania kwasababu mkaa mumepiga marufuku ambayo imeongeza maisha kua ghali sasa sisi tutawauzia gas na kuongeza uchumi wa taifa huoni raha hapo😀😀😀😀😀😀😀
na feasibilty study imeshafanyika ya bomba la gas kutoka tanga kwenda uganda ambalo litakwenda parallel na bomba la mafuta linalotoka uganda😛😛😛😛😛
 
Listen, mkimaliza huo mradi, anzeni kutuuzia gas, Tutanunua. Nisilojua Ni Kwamba sijui kwanini unaona hatuna raha Uchumi wenu ukiendelea. I can't help you hapo.
 
Back
Top Bottom