tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Usiwe mjinga kiasi icho na ww, nn mmewazidi Lagos ?just mention ntafuatilia kwa wakat wangu...Wat i know Nbo mko over ambitious na huo uchochoro wenu mnauiita cityhauna point.
kakojoe ulale
Usiwe mjinga kiasi icho na ww, nn mmewazidi Lagos ?just mention ntafuatilia kwa wakat wangu...Wat i know Nbo mko over ambitious na huo uchochoro wenu mnauiita cityhauna point.
kakojoe ulale
Lagos kuna modern estates mob sana...nyinyi mko na nini....Unplanned houses na AVIC ,HAHAHA.Lagos mmewazid nn? Nmeangalia despite pako unplanned lakin wanavitu kadhaa east haviko esp roads zao na estates ...even kiuchumi sio league ya any city uku east
Lagos hakuna kitu, ni watu tu wanao wengi.Usiwe mjinga kiasi icho na ww, nn mmewazidi Lagos ?just mention ntafuatilia kwa wakat wangu...Wat i know Nbo mko over ambitious na huo uchochoro wenu mnauiita city
Kuna thread ya nairobi nairaland...na cities zao kali IBADAN,LAGOS,ABUJA,PORT HARCOURT,CALABA...itafute huko ujioneeeeUsiwe mjinga kiasi icho na ww, nn mmewazidi Lagos ?just mention ntafuatilia kwa wakat wangu...Wat i know Nbo mko over ambitious na huo uchochoro wenu mnauiita city
Nmeshaiona iyo uzi mnawadanganya na nn sasa wkat Dar imewasumbua hadi Leo hamjitambui mnatokea kila kona kuja kuangalia vile mmepigwa nyundo za pua. ..Kuna thread ya nairobi nairaland...na cities zao kali IBADAN,LAGOS,ABUJA,PORT HARCOURT,CALABA...itafute huko ujioneeee
Fika Dar uone Ni mji mkubwa na mzuri kuliko huo wenu, tembea maeneo kama mbweni ndio utaelewa tofauti ya mji na vijiji vyenu mnaviita estate...Dar kumenawiri sana sijui uko Kenya mnashida gani mnapenda sana vijumba by kufanana mkapangeLagos kuna modern estates mob sana...nyinyi mko na nini....Unplanned houses na AVIC ,HAHAHA.
Estate gani ya maana iko Lagos huwezi pata kenya?
mumenawiri wapi na hata bado sehemu mingi dar imejaa giza, streetlights hamna unlike Nairobi mitaa zote ziko lit.Fika Dar uone Ni mji mkubwa na mzuri kuliko huo wenu, tembea maeneo kama mbweni ndio utaelewa tofauti ya mji na vijiji vyenu mnaviita estate...Dar kumenawiri sana sijui uko Kenya mnashida gani mnapenda sana vijumba by kufanana mkapange
We NI English haujui?? Ama hio pia ulifunzwa na Kiswahili.... There is a difference between join and follow yaani nlikuwa guest jamii forum ALAFU nikajoin ndio ni changie kwa hii THREAD yenye ilianza 2017 Jan 08.... Umeshika??
Streetlights ni kwel sio kila mahali zipo but miji mipya ni mingi Dar kwa sasa ambayo iko well planned na barabara zinajengwa kila uchao mnaita ringroads za kuzunguka mji bila kupita mjn kati ,Tar 24 tutaanza kuwekewa Mabomba ya Gas majumbani Mayb hii nayo ni habar njema sana kwa wakazi wa sinza, Kijitonyama, ubungo na sehemu zinginezomumenawiri wapi na hata bado sehemu mingi dar imejaa giza, streetlights hamna unlike Nairobi mitaa zote ziko lit.
Nenda Kwa Watoto wenzako kule kwenye forum ya KTALK= KIBERATALK hapa jf awatakiwi vichwa panzi kama weweLife Club Mwenge - Dar es salaam
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huku kuna watoto kumbe
mbona basi mumekuamilia pics za cbdStreetlights ni kwel sio kila mahali zipo but miji mipya ni mingi Dar kwa sasa ambayo iko well planned na barabara zinajengwa kila uchao mnaita ringroads za kuzunguka mji bila kupita mjn kati ,Tar 24 tutaanza kuwekewa Mabomba ya Gas majumbani Mayb hii nayo ni habar njema sana kwa wakazi wa sinza, Kijitonyama, ubungo na sehemu zinginezo
Dar kubwa jomba tafuta mwenyewe picha hata YouTube andika Avic city kigamboni na kadhalika utaonambona basi mumekuamilia pics za cbd
...as if hakuna sehemu zingine...since page one,vitu zilezile
what game is Tz best at seriously talking
kwan nyie nairobi muna nn zaidi kua na jungle of worse slums 😀😀😀 unamcheka mwenzio wakat nyie ndio poor kabisaKuna thread ya nairobi nairaland...na cities zao kali IBADAN,LAGOS,ABUJA,PORT HARCOURT,CALABA...itafute huko ujioneeee
nyumba nyingi za kufanana zinamilikiwa na politicians yani wakenya wengi hawana ardhi wala nyumba kwasababu zimeshachukuliwa na settlers etcFika Dar uone Ni mji mkubwa na mzuri kuliko huo wenu, tembea maeneo kama mbweni ndio utaelewa tofauti ya mji na vijiji vyenu mnaviita estate...Dar kumenawiri sana sijui uko Kenya mnashida gani mnapenda sana vijumba by kufanana mkapange
Unajua kitu funny ni Africa kuna country moja tu yenye imejaa wajinga.... Tz...... Niambie country gany inatumia kiswahili entirely Kama hio BONGO LALA YENU.... Kama Uganda wanaongea English na bado wako na kiganda yao Nigeria pia Congo ni French nyinyi mko DUNIA yenu.... aty maths mnafunzwa na kiswahili..?? Nkt! Kumaanisha mtoto WA class 3 kenya akifika Tz anakuwa Doctorinternational language??? ndo maana nakuambia hujitambui jombaa wamekuaminisha kuwa English ni lugha ya kimataifa na wewe umekariri hivyo..
huku bongo hatushobokei hizo takataka kama French,English n.k huwa tunazitumia kama kukiwa na ulazima sana..
ktk afrika nyie wakenya bado mmetawaliwa ila hamjui tu!!nyie mnachonga ngenga tu hapo kibera.↙↙