ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sio tuanze kuwauzia sisi ndio tunawauzia gas mpaka sasa hvi tunavoongea hata baada yakupiga marufuku haikuzaa matunda kwasababu gas munahitaji sana,Listen, mkimaliza huo mradi, anzeni kutuuzia gas, Tutanunua. Nisilojua Ni Kwamba sijui kwanini unaona hatuna raha Uchumi wenu ukiendelea. I can't help you hapo.
sisi tutawaletea bomba kabisa ili mtupe pesa za kigeni kwa wingi tuwapunguzie chuki😀😀😀