yani jiji la arusha lifanane na estate ya kisumu heheh town ambayo taxi ni baiskeli😀😀😀😀😀 taxi baiskeli mpaka townarusha kwa aerial view inatoshana na estate ya kisumu.....mmepachika tu glass buildings cbd but its still a tiny town thought it's beautiful
kwani we jamaa waingereza walikufanya nini??mbona wapenda sana lugha ya wenzako??kwani uongo bro? 😀😀😀😀nyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibisha😀😀😀
Dar is a backward unplanned city. Its like an urbanised villageCBD ya Dar utawapata hata watu waliovaa towel wanaenda kuoga..wengine wanauza mtura na samaki pale sokoni..wengine wanapiga stor vijiweni...wengine wana miswaki mdomoni..hii yote inatendeka hapo hapo CBD karibu na PSPF na TPA ambapo utawapata waliovaa suti wanafanya official work...sasa unashindwa hii ni CBD au ghetto?😀😀😀wamechanganyikiwa hakuna hata mpangilio...CBD ikona takataka aina yote..
Makes sensekuna data muhimu hapa za middle class
![]()
CBD ya Dar utawapata hata watu waliovaa towel wanaenda kuoga..wengine wanauza mtura na samaki pale sokoni..wengine wanapiga stor vijiweni...wengine wana miswaki mdomoni..hii yote inatendeka hapo hapo CBD karibu na PSPF na TPA ambapo utawapata waliovaa suti wanafanya official work...sasa unashindwa hii ni CBD au ghetto?😀😀😀wamechanganyikiwa hakuna hata mpangilio...CBD ikona takataka aina yote..
Niliona umepigwa makonde kwa uzi wahttps://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-tunaimba-viwanda-mdomoni-kenya-wanajenga-viwanda.1426755/😀😀😀😀😀😀😀Wakati wakenya wakiendelea na kupiga miayo
KAMPUNI YA CEMENT YA TAJIRI DANGOTE YAMWAGA AJIRA KIBAO... MPYAA KWA WATANZANIA LEO HII
APPLY SASA, FUATA LINK NA SHARE KWENYE MAGROUP MENNGINE ZIWAFIKIE NDUGU NA JAMAA MARAFIKI
✳SIFA KUANZIA CERTIFICATE MPAKA DIGRIII
WANAHITAJIKA HITAJIKA HARAKA SANA
✅Technicians and Junior Technicians
✅Engineer,CCROperators
✅Junior Engineers
✅Quality Assurance Officers
✅Welders
✅Forklift Operators
✅Dumper operators
✅Packing plant control desk ,Operators/Rotary ✅packing Machines Operators/Pickin gofficers
✅Managers
✅Engineers
✅Junior Engineers
✅Technicians and Junior Technicians
✅Head of Information Technology(IT)
✅Information Technology Officer(IT) Officers
✅Corporate Communication Officer
✅Legal Managers
✅Legal Officers
✅Weigh bridge Operators
✔Risk Officers
✅Human Resources Managers
✅Human Resources Officers
✅Fleet Officers/Logistics Officers
✅Sales and Marketing officers
✅Store Keepers/purchase officers
✅Materials Engineer
✅Security Officers
✅Chief Security Officer
✅HSE Managers
✅HSE Officers
✅Risk Managers
Tuma Maombi Yako Kabla Ya Tarehe 12 April 2018
Bofya hapa kujua zaidi na kuApply
New Job Vacancies at Dangote Cement Limited,Tanzania, Mtwara | 2018
Nafasi 8 za Kazi Sales Executives - Tanzania Postal Bank (TPB), Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 17 April , 2018 Nafasi 8 za Kazi Sales Executives - Tanzania Postal Bank (TPB), Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 17 April , 2018
18 Vacancies at The Tabora Urban Water Supply and Sanitation Authority 18 Vacancies at The Tabora Urban Water Supply and Sanitation Authority
BoFYA HAPA KUONA MAFASI NYINGINE ZA KAZI ZILIZO TANGAZWA LEO
https://bangomagz.com/Opportunities/category/jobs/tanzania-jobs/
https://bangomagz.com/Opportunities/ajira-dangote-2018/
Kubali ukipigwa chenga...data is louder😀😀😀 than your mouth. Hebu angalia hiyo rangi na ulinganishe na ya LDC tanzaniakwanza tumalize unakimbia wapi umesema CBD ya dar haina mpangilio sasa hawa wakina mama wanaotandika biashara zao chini ndan ya CBD unalizungumziaje?? huo ndio mpangilio😀😀😀😀😀😀
![]()
![]()
sawa "sheli" na sikulaumu kwa kuandika "nonsense" kwa vile wewe ni wa Dar ndio neno kubwaa unalojua kwa hiyo lugha njooni nairobi muone shell original sio hizi za waarabu wenu oilcom ati nayo ni sheli,cameloil eti ni sheli sijui GBP mara lakeoil yaani waarabu wamewapakata kiuchumi. Kweli hivi hamjui SHELL ni nini mpaka vituo vya mafuta vinaitea sheli. Hata hiyo
yenu pia inata hizo vituo ya mafuta sheli ni mkubea bwanaaa yeye pia hajui
RenderThis complex alone is enough tall buildings for a small city!! Really cool. Loading soon pale Westlands🙂🙂View attachment 738743
Weka estates za Dar nikuwekee za Mombasa
Mombasa situliwawavisha dela mda tu waleWeka estates za Dar nikuwekee za Mombasa
tazama Nairobi CBD watu walivo...huwezi ukawaona watu wamebeba mitungi kichwani kana kwamba wanaenda mtoni😀😀😀😀😀
![]()
![]()
Weka estates za Dar nikuwekee za Mombasa