Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

katueleza oilpipeline kashachemka tayari😀😀
tanzania inayo oilpipeline since 70s to zambia
nyie munajenga leo au????
SGR ya tanzania sio diesel verry sorry ni modern electric train in africa na ukumbuke rail ya tanzania ni continuous welded yenu ni bolt jointed yani full vibration kipi tumeiga kwenu???
yani sisi tuige kuleta mitungi ya gongo iliotumika 100yrs ago 😀😀😀😀😀😀
View attachment 737610
Eti mitungi ya Gongo
 
this is airport for a third city
6916125_kisumuinternationalairportrunway_jpeg4d8ca44c9111fd7adcf83c782842529e

just ask tz to bring airport😀😀😀😀
Kumbe upo nilijua umekufa
 
Tuliza Bichwa uelewe jamaa kasema your main driver of your economy is private sector different from Us who depend on government in major project.Nikasema mtakuja kuiuza nchi kwa Mabepari kama kila kitu mtawategemea Wao.Tuliza ndonga mkikuyu wa Mathare uelewe.
sawa mkaazi wa tandale
 
wapo cbd ila wamevaa utadhani wapo mashambani😀😀😀😀...wana sijui nini vichwani...duh! hawa ndio middle class eti
screenshot_2018-04-02-11-13-41-jpg.737800
 
ukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia nani😀😀😀😀..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
Hatutaki maisha yakucopy ........tunaimba kwa kiswahili mwanzo mwisho
 
Hatutaki maisha yakucopy ........tunaimba kwa kiswahili mwanzo mwisho
mwimbe tu kwanza hata mnajua lugha nyingine gani??😀😀😀😀..kiingereza afadhali hata chokoraa wa nairobi ama mtoto wa nursery😀😀😀..
 
Dalili za uchizi
kwani uongo bro? 😀😀😀😀nyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibisha😀😀😀
 
Ni uwongo.............

Halafu mbona english ni lugha yakawaida sana lakini chaajabu huko kwenu mnaisujudu
 
Sisi ni Waswahili na hayo mavazi ndiyo utamaduni wetu na tunajivunia.
So waswahili huteka maji katikati mwa jiji? Hata Mombasa ni mji wa waswahili lakini sijawahi ona mambo kama haya kule
 
ukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia nani😀😀😀😀..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
Sawa tumekusikia mzungu mweusi. Tutafanyia kazi
 
wapo cbd ila wamevaa utadhani wapo mashambani😀😀😀😀...wana sijui nini vichwani...duh! hawa ndio middle class eti
screenshot_2018-04-02-11-13-41-jpg.737800
Nadhani kwenda Nairobi CBD itakua lazima uvae suti. Those ladies are free to go anywhere in that city.

Nashuhudia ushamba na ulimbukeni wa kiwango cha juu sana toka kwenu.
 
So waswahili huteka maji katikati mwa jiji? Hata Mombasa ni mji wa waswahili lakini sijawahi ona mambo kama haya kule

Sio kila ndoo ni ya maji, mbona hujasema wamebeba rangi, Hao akina mama ni wajasiriamali wanatoka kuchukua samaki feri na Hapo wanaelekea kituo cha Bus cha stesheni nyuma ya hayo Majengo.
 
Back
Top Bottom