ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Murua hiiin bagamoyo
View attachment 738262

The Mererani Great Wall
I ndio ile kinondoni ya matajiri?
Tujenge nchi.Mambo yanazidi kuwaka kati ya China na Tanzania
View attachment 738365
BALOZI KAIRUKI, AZUNGUMZIA MKUTANO JUKWAA LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA | MTAA KWA MTAA BLOG
Nchi inajengwa kwa namna yoyote. Sisi vijana wazalendo tutaipigania nchi yetu kwa namna yoyote. Tutajenga nchi yetu, iwe kwa hira, fitina, kupigana au kufanya kazi. Nchi hii lazima isonge mbele. Tupo vijana waliotayari kujenga ncho yetu.Tujenge nchi.
Hii picha kila siku mnaituma Hamna nyingine???