kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Tatizo hawa jamaa wanacopy na kupaste liftstyle za wazunguSio kila ndoo ni ya maji, mbona hujasema wamebeba rangi, Hao akina mama ni wajasiriamali wanatoka kuchukua samaki feri na Hapo wanaelekea kituo cha Bus cha stesheni nyuma ya hayo Majengo.