Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
tazama Nairobi CBD watu walivo...huwezi ukawaona watu wamebeba mitungi kichwani kana kwamba wanaenda mtoni😀😀😀😀😀
Mpangilio ni nini?swali langu ni mbona CBD yenu haina mpangilio...
namaanisha mbona mnachanganya official business na casual business pale CBD ampapo ni mahali panafaa kuwa na order na heshima ya aina yake...ndio maana nikataja uptown na downtown...hii utaipata hata nchi zilizoendelea...sasa mtu anapobeba mtungi wa maji CBD hio inaleta picha gani?Mpangilio ni nini?
Naona iko na mpangilio 7bu ukielekezwa unafika kwa kufuata njia hakuna vichochoro. ..mf nikikuagiza ufike jengo lolote posta unafika is kufuata Barabara hakuna mahali utapotea
labda tukuulize we unajua hao watu wamebeba nn??swali langu ni mbona CBD yenu haina mpangilio...
Hapa naungana na wewe ,kiukweli cbd ya dar ina walakini hasa kwenye suala la biashara watu wanafanya vitu vya hovyo hovyo hadi cbd inatia kinyaa ,halafu watu hawa wakiondolewa wanakuja wengine wanaanza kupinga eti sio haki.tazama Nairobi CBD watu walivo...huwezi ukawaona watu wamebeba mitungi kichwani kana kwamba wanaenda mtoni😀😀😀😀😀
![]()
![]()
asante kwa kunielewa mkuu...hata hapa Nairobi kulikua hivo tu ila baada ya Kidero kuingia mamlakani alianza kuwa kamata na kuwatoa CBD...hao jamaa sio ati hawapo Nairobi...wapo tu ila wametengewa mahala pao ambapo wanafanyia biashara zao unofficial..Hapa naungana na wewe ,kiukweli cbd ya dar ina walakini hasa kwenye suala la biashara watu wanafanya vitu vya hovyo hovyo hadi cbd inatia kinyaa ,halafu watu hawa wakiondolewa wanakuja wengine wanaanza kupinga eti sio haki.
Kwakweli tuna safari ndefu hasa kwenye suala LA ustaarabu na mpangilio wa vitu
namaanisha mbona mnachanganya official business na casual business pale CBD ampapo ni mahali panafaa kuwa na order na heshima ya aina yake...ndio maana nikataja uptown na downtown...hii utaipata hata nchi zilizoendelea...sasa mtu anapobeba mtungi wa maji CBD hio inaleta picha gani?
ati mtungi wa maji...hahaha asante bro...this was my point from the beginning...wengine wanachukulia kwamba eti najaribu kuwaingilia ila nina kosoa jambo la msingi sana...kinachotendeka CBD kinaweza kuijengea nchi jina au kuiharibia pia...this is because that is where most visitors visit first before they go to hotels and national parks...![]()
ati mtungi wa maji...
Nadhan Leo umekuja na point...kuna vitu sometimes haviko sawa bro
Sure pale ferry kuna soko la samaki sasa unakuta mtu kafata mzigo wake anakatisha na ndoo yake cbd achomokee mnazi mmoja arudi alikotoka inakua haijatulia wakat kuna buseshahaha asante bro...this was my point from the beginning...wengine wanachukulia kwamba eti najaribu kuwaingilia ila nina kosoa jambo la msingi sana...
ooh inaeleweka sasaSure pale ferry kuna soko la samaki sasa unakuta mtu kafata mzigo wake anakatisha na ndoo yake cbd achomokee mnazi mmoja arudi alikotoka inakua haijatulia wakat kuna buses
unauhakika na unachikiongea au tukuletee ushahidi kuwa wakina mama wamekaa CBD wanauza mboga tukuletee alaf ufananishe na maneno yako???😀😀😱asante kwa kunielewa mkuu...hata hapa Nairobi kulikua hivo tu ila baada ya Kidero kuingia mamlakani alianza kuwa kamata na kuwatoa CBD...hao jamaa sio ati hawapo Nairobi...wapo tu ila wametengewa mahala pao ambapo wanafanyia biashara zao unofficial..

Kwa hiyo kingereza kwako ni kama Mungu uongo kingereza bila ni sawa nakupiga kelelekwani uongo bro? 😀😀😀😀nyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibisha😀😀😀
kadoda kama una ile picha ya wakina mama wakiuza mboga maeneo ya CBD nairobi naomba upost humuwaliosema "if you can't beat them join them" hawakuwa wajinga.
huko youtube kuna ngoma mpya inayotrend ya mwanamziki mkenya willy pauf ft mtanzania harmonize.
huyu willy paul ni mwanamziki wa gospel but safari hii katupa gospel na kuimba bongofleva ili apate mashabiki tz.
na la kufurahisha zaidi, ngoma imepostiwa kwa channel ya harmonize mwenye umaurufu mkubwa na subscribers wengi kuliko mwenye wimbo wake ambaye ni mkenya willy paul.
amefanya hivyo ili apate number kubwa ya viewers.
safi sana... viva tanzania.![]()
![]()
![]()
View attachment 738088
😀😀😀😀in future utanielewa tuKwa hiyo kingereza kwako ni kama Mungu uongo kingereza bila ni sawa nakupiga kelele
hapa ni CDB nairobi sasa tueleze 😀😀😀ooh inaeleweka sasa
Na wewe ni Ajuza unayemshambulia Mzee mwenzakomzee flani wa miaka karibia 60 kila mara yupo twitter na youtube antafta comments za wakenya ila ni mtz![]()
duh! watu hawajiheshimu kabisa karne hii![]()
![]()
teenagers wanabehave kama frownups grownups wanabehave kama teenagers![]()
![]()
![]()