Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna data muhimu hapa za middle class
African-Middle-Class.jpg
kwanza tumalize unakimbia wapi umesema CBD ya dar haina mpangilio sasa hawa wakina mama wanaotandika biashara zao chini ndan ya CBD unalizungumziaje?? huo ndio mpangilio😀😀😀😀😀😀
 
Na wewe ni Ajuza unayemshambulia Mzee mwenzako
pole sana mimi bado kijana fresh...huwezi ukaniona nakimbilia youtub mara twitter ku piga search" tanzania" ilhali mie mkenya
emoji23.png
emoji23.png
...wazee wenu akili hawana kabisa...mtu anafaa awe sasa hivi anapiga hesabu jinsi atavowaachia watoto uridhi anapambana na wakenya YouTube
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
mzee flani wa miaka karibia 60 kila mara yupo twitter na youtube antafta comments za wakenya ila ni mtz
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
duh! watu hawajiheshimu kabisa karne hii
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
teenagers wanabehave kama frownups grownups wanabehave kama teenagers
emoji23.png
emoji23.png
ukisikia "usenge-nyaji" ndio huu.
 
pole sana mimi bado kijana fresh...huwezi ukaniona nakimbilia youtub mara twitter ku piga search" tanzania" ilhali mie mkenya
emoji23.png
emoji23.png
...wazee wenu akili hawana kabisa...mtu anafaa awe sasa hivi anapiga hesabu jinsi atavowaachia watoto uridhi anapambana na wakenya YouTube
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
deal with issues please. yaonekana unavutiwa sana na wanaume mashababi wenye umri mkubwa.
 
ni vizuri kuchanuka kidogo bro...kiingereza kwa sasa ndio lgha ya dunia..sasa nyie mkijikwamua tu na lugha moja mtafanya biashara kivipi? sio kwamba tunakienzi kiingereza kuliko lugha zetu ila ukweli wa mambo ni kuwa kiingereza ndio lgha ya kimataifa katika karne hii...ndio maana mnapitwa na mabmo mengi sana...hivi haujajua mpaka wachina wameanza kujifunza kiingereza?
Kama english inasababisha tupitwe na mengi basi tunaopitwa ni wengi Nenda china au german,spain n.k
 
Hivi kwanini mnapenda kuva ma koti makubwaaaa!! Au mnabeba githeri kwenye mifuko ya koti
kila mtu na style yake...sasa ulitaka wavae kama wewe au?😀😀😀 lakini hiyo ya githeri imenimaliza bana😀😀😀😀usinichekeshe hivo tena bana
 
Kama english inasababisha tupitwe na mengi basi tunaopitwa ni wengi Nenda china au german,spain n.k
unataka kunafanisha kiswahili na hizi lugha....spanish, german na chinese zinazungumza na watu zaidi wewe bana mbona unareason kama mtoi?😀😀😀chinese pekee ina 1 billion speakers...spanish ina more than 500 million speakers..sasa kiswahili inazungumzwa EA pekee yake unataka kuniambia mtafanya biashara nje ya ukanda huu kivipi kama jaji anazungumza kiingereza cha mtoto wa nursery..ama mtaandika translators kila uchao??😀...
 
Back
Top Bottom