Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pole sana aliko dangote hio ndio kenya hakuna matata😀😀😀😀😀😀
4F34516A-CD34-4D53-9D8D-87C2A429CB2D.jpeg
 
hii thread imewafungua sana macho wakenya leo hii wamepata kutambua kumbe tanzania sio ile waliokua wanaiwaza na hii ni just 10yrs of developments sasa picha kamili itaanza mwakani na kwanzia 2019 wakenya wengi watakimbia hii thread😀😀😀😀😀
Kabisaa
 
sawa "sheli" na sikulaumu kwa kuandika "nonsense" kwa vile wewe ni wa Dar ndio neno kubwaa unalojua kwa hiyo lugha njooni nairobi muone shell original sio hizi za waarabu wenu oilcom ati nayo ni sheli,cameloil eti ni sheli sijui GBP mara lakeoil yaani waarabu wamewapakata kiuchumi. Kweli hivi hamjui SHELL ni nini mpaka vituo vya mafuta vinaitea sheli. Hata hiyo yenu pia inata hizo vituo ya mafuta sheli ni mkubea bwanaaa yeye pia hajui


hawa wasee hunishangaza kupima Nairobi na Dar. .....Nairobi is 1000 times more developed than dar
 
Shida ya tuusan ni hajawahi toka Tanzania ku experience first hand............
Wengi wanategea story za net na from friends.. Eldy may have the highrises but Nax is way bigger and beautiful... Kisumu pia iko poa sana.
 
Wakati wakenya wakiendelea na kupiga miayo

KAMPUNI YA CEMENT YA TAJIRI DANGOTE YAMWAGA AJIRA KIBAO... MPYAA KWA WATANZANIA LEO HII

APPLY SASA, FUATA LINK NA SHARE KWENYE MAGROUP MENNGINE ZIWAFIKIE NDUGU NA JAMAA MARAFIKI

✳SIFA KUANZIA CERTIFICATE MPAKA DIGRIII

WANAHITAJIKA HITAJIKA HARAKA SANA

✅Technicians and Junior Technicians
✅Engineer,CCROperators
✅Junior Engineers
✅Quality Assurance Officers
✅Welders
✅Forklift Operators
✅Dumper operators
✅Packing plant control desk ,Operators/Rotary ✅packing Machines Operators/Pickin gofficers
✅Managers
✅Engineers
✅Junior Engineers
✅Technicians and Junior Technicians
✅Head of Information Technology(IT)
✅Information Technology Officer(IT) Officers
✅Corporate Communication Officer
✅Legal Managers
✅Legal Officers
✅Weigh bridge Operators
✔Risk Officers
✅Human Resources Managers
✅Human Resources Officers
✅Fleet Officers/Logistics Officers
✅Sales and Marketing officers
✅Store Keepers/purchase officers
✅Materials Engineer
✅Security Officers
✅Chief Security Officer
✅HSE Managers
✅HSE Officers
✅Risk Managers

Tuma Maombi Yako Kabla Ya Tarehe 12 April 2018

Bofya hapa kujua zaidi na kuApply
New Job Vacancies at Dangote Cement Limited,Tanzania, Mtwara | 2018

Nafasi 8 za Kazi Sales Executives - Tanzania Postal Bank (TPB), Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 17 April , 2018 https://wp.me/p9HYOj-s1

18 Vacancies at The Tabora Urban Water Supply and Sanitation Authority https://wp.me/p9HYOj-s6

BoFYA HAPA KUONA MAFASI NYINGINE ZA KAZI ZILIZO TANGAZWA LEO
https://bangomagz.com/Opportunities/category/jobs/tanzania-jobs/



https://bangomagz.com/Opportunities/ajira-dangote-2018/
 
Back
Top Bottom