tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Au sio me ndio siangalii azam citizen wala CNNazam tv ni popular hapo dar tu ilijaribu Kenya ikalemewa na mababe kina Citizen. ...
Only Aljazeera and CNN can compete citizen tv
Au sio me ndio siangalii azam citizen wala CNNazam tv ni popular hapo dar tu ilijaribu Kenya ikalemewa na mababe kina Citizen. ...
Only Aljazeera and CNN can compete citizen tv
azam tv iko tanzania, kenya, uganda. rwanda, burundi, malawi. zambia, DRC, mozambique, comoroazam tv ni popular hapo dar tu ilijaribu Kenya ikalemewa na mababe kina Citizen. ...
Only Aljazeera and CNN can compete citizen tv
wacha aongee pumba huyu 😀😀😀😀😀Au sio me ndio siangalii azam citizen wala CNN
kutoka terminal 1 kwenda ViP terminal lazma uende na gari na kutoka VIP kwenda terminal 2 lazma uende na gari na kutoka terminal 2 kwenda 3 ndio mbali zaidi
Hahaha....kweli inafanana nabile gate ya KU. Watanzania ambao wamewahi fika huko watakubaliana na hilihiyo ni gate ya kenyatta university ama terminal. ...Holy Christ!
we usinidanganye mm JkIA ina handle 4.5m passengers mm sio mgeni sana ndugu utaibika bure sasa hvinimeshangaa hizo terminal 1 na 2......ni jina mlibandika tu.....enyewe JKIA haina any close competitor. .......design yenyewe is orgasmic notwithstanding 10.5 million passenger traffic project ed this year with dar still languishing at 2 million as of 2017.....hoping the mabati rolling mills will help them increase to 3 million. .....hahaha
kua serious kidogo 😀😀😀😀
ndiyo nawaambia hawa wakenya waweze jua hivyo maana wanadhani kale kakiwanja chao kalicho combine almost terminal zote kwa zile picha zao zitakuwa sawa na zenu...kutoka terminal 1 kwenda ViP terminal lazma uende na gari na kutoka VIP kwenda terminal 2 lazma uende na gari na kutoka terminal 2 kwenda 3 ndio mbali zaidi
kweli hauna akili kwa hiyo hiyo aljazeera na CNN ni yawakenyaazam tv ni popular hapo dar tu ilijaribu Kenya ikalemewa na mababe kina Citizen. ...
Only Aljazeera and CNN can compete citizen tv

aibunarudia kukwambia kua serious kidogo😀😀
vipi kuhusu studio za kenyaazam tv iko tanzania, kenya, uganda. rwanda, burundi, malawi. zambia, DRC, mozambique, comoro
studio ya azam ni ya tatu kwa ubora Africa

terminal 1
vipi kuhusu studio za kenyaazam tv iko tanzania, kenya, uganda. rwanda, burundi, malawi. zambia, DRC, mozambique, comoro
studio ya azam ni ya tatu kwa ubora Africa

kama anataka kuijua azam studio mwache awashe kibiriti nimpe nondo zilizoshiba hap😀😀😀vipi kuhusu studio za kenya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakwambia hv Dubai airport ni nzuri kuliko jfkeneddy inter airport ya New York. ..terminal 2
View attachment 735688