LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Hio ni some neighbourhpood nimeweka, sijaweka cbds, nimeweka picha za places mbali na cbd, kuonyesha developmentNairobi inamajengo machache sana
Hio ni some neighbourhpood nimeweka, sijaweka cbds, nimeweka picha za places mbali na cbd, kuonyesha developmentNairobi inamajengo machache sana
hahaha baaada ya cbd naona village like houses
uhahaha utapata ugonjwa wa moyo bure BRT iko wapi????😀😀😀😀😀😀
jipeni matuamaini tu😀😀😀😀😀😀hahaha baaada ya cbd naona village like houses
nonsense as usual😀😀😀😀😀Hahaha Naona TPA.
CBD Na kariakor zimezungukwa na shacks haha.
ndio maana picha zao huzungukia hapo na along morogoro road(upande wa nyuma wanaficha kabiiiiisa)
Jina baya eti kijicho
How are you my best friend from failed state.Kawaida yao.
Pia usisahau mfumo wao mzur wa elimu unamfanya mtu aweze kujitegemea baada ya kuhitima. Hapa kwetu fujo tupu..siasa hadi kwenye maswala ya afya na elimu
Namshangaa huyu wetu kila Sikh kujisifu na hizo pangs boi mbili! Mbona Jirani yetu mwenye utitiri wa ma Boeing hata kuyataja hataji utadhani KQ hai exist!
Neno ushamba na ulimbukeni ndio linapopata credit hapo!
Good, lucky that am not in the blue colored regions.How are you my best friend from failed state.