ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
and as per UN 80% of Dar residents live in informals....mnaficha kidonda lakini ukweli umetoka kuwa 79% of Tanzanians are wallowing in poverty......nowonder mmejaa Kenya mkihepa nchi yenu....
and as per UN 80% of Dar residents live in informals....mnaficha kidonda lakini ukweli umetoka kuwa 79% of Tanzanians are wallowing in poverty......nowonder mmejaa Kenya mkihepa nchi yenu....
and as per UN 80% of Dar residents live in informals....mnaficha kidonda lakini ukweli umetoka kuwa 79% of Tanzanians are wallowing in poverty......nowonder mmejaa Kenya mkihepa nchi yenu....
Endeleeni kujiliwaza na statistics, but on the ground reality is;you see......I have been to the real Tanzania and I know it.those chaps wako vibaya sana
Kenya always in your mind...hamia Kenya Tz inaonekana imekushinda.nimeona ushuzi nikamjibu ndugu yako anatuletea ushuzi wa mbuzi😀😀😀😀
alaf wanaimba GDP heheheh huku madeni yamejaa mpaka matakoni😀😀😀😀😀Endeleeni kujiliwaza na statistics, but on the ground reality is;
Is Kenya broke? We may be headed for harder times
niishi kwenye mabanda ya nguruwe😀😀😀😀😀Kenya always in your mind...hamia Kenya Tz inaonekana imekushinda.
Arusha tuna kiwanja kikubwa cha KIA, so acha propaganda hicho ni cha ndege ndogo pia moshi kuna kidogo lakini mikoa hii miwili inategemea kilimanjaro international Airport .Geneva yawa....mwaswast tunafika Geneva lini....hahaha.enyewe pesa ya east African community haijasaidia arusha sana
View attachment 725665
70km from arushaGeneva yawa....mwaswast tunafika Geneva lini....hahaha.enyewe pesa ya east African community haijasaidia arusha sana
View attachment 725665
Ahsante mwanangu .70km from arusha![]()
![]()
![]()
![]()
I see jacaranda trees so marvelous!
Still the view of Kilimanjaro mountain is amazing as it can be seen from KIA!Ahsante mwanangu .
uhahahaha maji shingoni😀😀😀😀😀arusha kama kericho...tu.it's just highly publicized juu ya east African legislative assembly
kericho linganisha na geitaarusha kama kericho...tu.it's just highly publicized juu ya east African legislative assembly
Alizani hapa ni Facebook unaandika andika tu kwa vile unajua kusoma na kuandika [emoji23]
.Unafahamu KQ katika hizo ndege zinazofanya kazi za kukodi no ngapi na wanazomiliki ni ngapi?
Kukodi ni kuongeza uwezo was huduma na kibiashara hilo sio la ajabu. Tupatie takwimu hiyo kwanza ya wanazomiliki na kukodi. Kusema nyingi ni za kukodi haisaidii, maana mtu mwenye akili anaweza kukodi ndege na zikaingiza faida kuliko anayetumia za kumiliki