mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Wewe Waitress! Acha kupiga vyakula vya Watu Picha, utamwaga unga.
Wewe Waitress! Acha kupiga vyakula vya Watu Picha, utamwaga unga.
92%, huwezi sema ni maeneo machache.Hili nakubalia nawewe kwa kiasi fulani. Lakini sio miji yote labda dar tu maeneo machache.
Watu wenye mawazo kama wewe ndiyo waliosababisha tuwe hapa tulipo. Upimaji wa maeneo siyo lazima nyumba zikae kwa mistari, hapana....zinaweza kuwa kama mviringo au umbo lolote la msingi ni kuwa lazima ziwe na nafasi ya barabara, na njia za kuleta huduma kama umeme, maji,etc. Wewe kwa ufikiri wako kama kutakuwa na janga la moto utaweza kuokoa wananchi kutoka kwenye moto wakati kumebanana hivyo hakuna barabara au nafasi ya kupitisha gari za zimamoto?.....Utaweza kuleta ambulance kwenye makazi ya watu kuwahisha mwananchi mwenye tatizo hospitalini kwa haraka kuokoa maisha yake?.Kwahiyo wewe unataka watu wavunjiwe nyumba sababu tu hazijakaa kwa mistari??
Ndio maana nikakuuliza unadhani kutovunja hizo nyumba watu hawana akili au unafhani sababu wakazi walipiga kura kama ulivyosema??Watu wenye mawazo kama wewe ndiyo waliosababisha tuwe hapa tulipo. Upimaji wa maeneo siyo lazima nyumba zikae kwa mistari, hapana....zinaweza kuwa kama mviringo au umbo lolote la msingi ni kuwa lazima ziwe na nafasi ya barabara, na njia za kuleta huduma kama umeme, maji,etc. Wewe kwa ufikiri wako kama kutakuwa na janga la moto utaweza kuokoa wananchi kutoka kwenye moto wakati kumebanana hivyo hakuna barabara au nafasi ya kupitisha gari za zimamoto?.....Utaweza kuleta ambulance kwenye makazi ya watu kuwahisha mwananchi mwenye tatizo hospitalini kwa haraka kuokoa maisha yake?.
Mpangilio ni muhimu kwenye kila kitu, mbona city centers zetu zote zimejengwa kwa mpangilio? Kwanini kote kwingine kujengwe bila mpangilio?
Naanza kuwa na wasiwasi kuwa mipango miji yetu iliharibika kwa sababu kulikuwa na watu kama wewe kwenye wizara ya ardhi ambao hawakufanya kazi zao kwa weledi.
Watu wenye mawazo kama wewe ndiyo waliosababisha tuwe hapa tulipo. Upimaji wa maeneo siyo lazima nyumba zikae kwa mistari, hapana....zinaweza kuwa kama mviringo au umbo lolote la msingi ni kuwa lazima ziwe na nafasi ya barabara, na njia za kuleta huduma kama umeme, maji,etc. Wewe kwa ufikiri wako kama kutakuwa na janga la moto utaweza kuokoa wananchi kutoka kwenye moto wakati kumebanana hivyo hakuna barabara au nafasi ya kupitisha gari za zimamoto?.....Utaweza kuleta ambulance kwenye makazi ya watu kuwahisha mwananchi mwenye tatizo hospitalini kwa haraka kuokoa maisha yake?.
Mpangilio ni muhimu kwenye kila kitu, mbona city centers zetu zote zimejengwa kwa mpangilio? Kwanini kote kwingine kujengwe bila mpangilio?
Naanza kuwa na wasiwasi kuwa mipango miji yetu iliharibika kwa sababu kulikuwa na watu kama wewe kwenye wizara ya ardhi ambao hawakufanya kazi zao kwa weledi.
Kipo katikati ya Arusha na Kilimanjaro so ni kama 40km from each city. Sio 70km kutoka Arusha.70km from arusha![]()
![]()
![]()
![]()
huyo mkenya anaejitia mbongo 😀😀😀Kwahiyo unataka kuniambia haujui hata landmark za Arusha ndugu yangu.
Huu unajengwa RuangwaDah ndugu zangu wakenya hadi huu mwaka uishe mtakuwa mmeshajinyonga wote humu ndan
H.E Majaliwa Stadium.
Capacity 50,000 people
View attachment 725970
kwanza karibu naona umelivaa jukwa kichwa kichwa kwanza hili sio jukwaa la siasa, sio kila penye tundu kuna njiaSisi unemployment ipo percentage ngapi? Kama ukishindwa kupata au wakikunyima kukupa data hao NBS, fanya hesabu rahisi kidogo 1. Angalia wangapi katika familia yako wanafanya kazi ya kuajiriwa 2. Angalia inapotokea ajali ya barabarani au mwizi kauawa kwenye miji yetu ni watu wangapi wanakuwa wamesimama na kushangaa shangaa hayo matukio 3. Angalia miji yetu ilivyojaa watu mitaani wakipiga stories za vijiweni. 4 Tafuta takwimu ya uzalishaji wa viwandani na mapato yanayopatikana halafu fananisha na Kenya 5 Pita mitaani angalia hali ya maisha na nyumba za wananchi wetu.
UKIMALIZA KUFANYA YOTE HAYO UTAWEZA KUJUA KAMA TUNA TATIZO LA AJIRA AU HAPANA!
anzia hapa halafu tukae tuongee sasaWatu wenye mawazo kama wewe ndiyo waliosababisha tuwe hapa tulipo. Upimaji wa maeneo siyo lazima nyumba zikae kwa mistari, hapana....zinaweza kuwa kama mviringo au umbo lolote la msingi ni kuwa lazima ziwe na nafasi ya barabara, na njia za kuleta huduma kama umeme, maji,etc. Wewe kwa ufikiri wako kama kutakuwa na janga la moto utaweza kuokoa wananchi kutoka kwenye moto wakati kumebanana hivyo hakuna barabara au nafasi ya kupitisha gari za zimamoto?.....Utaweza kuleta ambulance kwenye makazi ya watu kuwahisha mwananchi mwenye tatizo hospitalini kwa haraka kuokoa maisha yake?.
Mpangilio ni muhimu kwenye kila kitu, mbona city centers zetu zote zimejengwa kwa mpangilio? Kwanini kote kwingine kujengwe bila mpangilio?
Naanza kuwa na wasiwasi kuwa mipango miji yetu iliharibika kwa sababu kulikuwa na watu kama wewe kwenye wizara ya ardhi ambao hawakufanya kazi zao kwa weledi.
Hapo slum city mna SNOWWewe Waitress! Acha kupiga vyakula vya Watu Picha, utamwaga unga.
Una elimu ya darasa la ngapi? Silii ila naona kama najitahidi kukuelewesha lakini huelewi ndiyo maana nataka kujua elimu yako.Ndio maana nikakuuliza unadhani kutovunja hizo nyumba watu hawana akili au unafhani sababu wakazi walipiga kura kama ulivyosema??
Hujajibu unalialia.
Huna muda wa kujibu hilo kwanza sikukuomba ujibu, pili kwa sababu akili yako ipo static.....hivyo sishangai......Kwanini basi una-contribute humu JF???i have no time to give an answer to this garbage. please take it to another page where political related issues are discussed. this is not the right place for you.
You are more than garbage yourself. Can't you agree to disagree? You are worthless thrash.
panicking won't change the fact that what you're trying to present is purely political garbage.Huna muda wa kujibu hilo kwanza sikukuomba ujibu, pili kwa sababu akili yako ipo static.....hivyo sishangai......Kwanini basi una-contribute humu JF???
porojo.the whole of Dar ni balaa.....only 5% of the city looks civilized

Thank you for confirmation of Dar as slum through those pictures.
Hahaha Naona TPA.
Kawaida yao.Hahaha Naona TPA.
CBD Na kariakor zimezungukwa na shacks haha.
ndio maana picha zao huzungukia hapo na along morogoro road(upande wa nyuma wanaficha kabiiiiisa)