Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenyans are no longer our competitors in tourism, it's therefore not a coincidence why we have beaten them in a number of tourists.

our target is not only to receive many tourists but also to create an environment that can attract the rich and prominent people to visit tanzania.

here is the the crown prince of dubai, hamdan bin mohammed al maktoum. son of a billionaire and ruler of dubai, Sheikh Rashid bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum.

he is in tanzania for a vacation.
viva tanzania. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

IMG_20180326_195248.jpg
IMG_20180326_195532.jpg
IMG_20180326_195553.jpg
IMG_20180326_195514.jpg
IMG_20180326_195444.jpg
 
Watanzania wenzako ndio wamebobea kuanzisha thread za utoto.
Wewe mkenya ameanzisha moja specific for kenyans juu ya wivu unaleta za ovyo sasa
mna umama sana.
mnakurupuka kuanzisha thread ili ku divert attention ili watu wasiendelee kuchangia hii thread. hamtofanikiwa.

thread hii ita trend mpaka 2025.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
wanakuja kuchukua pesa tu huko...sasa kama mko na phd ya ku party mbona haijawahi kutokea mkenya akandaa party tz?.

tunawaletea tamasha la fiesta mwaka huu. last year fiesta ilifanyika rwanda, this year tunaileta kenya.

najua Kenya mnapenda sana hata kama mwatuponda......Tumewakaribisha wote Mombasa city
 
KWANI TANZANIA KAZI ZIPO WAPI??? ANGALIA TAKWIMU YA WAKENYA WALIO NA KAZI HASA SECTOR BINAFSI HALAFU LINGANISHA NA TANZANIA! TUPO NYUMA MIAKA 20 KULINGANISHA NA KENYA KUANZIA UCHUMI, ELIMU NA MITAZAMO (MINDSET), Wakenya wapo wengi nje ya nchi wenye kazi za maana mara 15 au 20 ya watanzania, na wana-cope na mazingira wanayoishi kuliko sisi watanzania.....kwa ufupi wakenya ni watafutaji na wanafahamika dunia nzima. Obama hakupatikana kibahati, sisi tunajikongoja hata kutembea hatujaweza wakati wenzetu Wakenya na waafrika wengine wanatimua mbio. Rais wetu kila siku anazungumzia Flyovers mbili za Dar ES Salaam wakati wenzetu kwao zimejaa, mtandao wa barabara za kwao zikiwamo Expressway zipo kwa zaidi ya mara mbili kulinganisha na za kwetu, elimu yetu bado sana....wanamaliza vyuo lakini hata barua za kuomba kazi inakuwa changamoto kuziandika. Kenya airways imejaa madege ya kila aina, Uwanja wa Jomo Kenyatta wanashuka wasafiri millioni 6.3 wakati Julius Nyerere wanashuka chini ya millioni 2.4 kwa mwaka, Vyuo vikuu vyao ni bora karibu vyote vipo kwenye vyuo vikuu bora 100 kwa nchi za Afrika sisi vinaingia viwili tu...Bado tu hujajiona upo wapi ndugu?
Kenya hawajawahi kuzuia kufanya siasa tangu mfumo wa vyama vingi umeanza, sisi kwetu ni ukandamizaji kwenda mbele. Mkulu kazi anazozifanya ni kufungua viwanda vilivyofungiwa kabla, kufungua barabara zilizokamilika wakati wa Kikwete ambazo tayari zilishatumika kwa miaka.
Ushauri wangu, Aache misifa na kila siku kuropoka sijui flyovers, barabara, ndege, Railways, sijui wizara ya afya imeongezewa budget. Hizo zote ni wajibu wake, ni moja ya job description yake.....Tunachekwa kwani kwa majirani zetu hayo mambo ni vitu vya kawaida. Akazanie kuongeza budget, Kila mwaka budget haitoshi....Kenya budget yao kwa mwaka ni Dola 24 billion kwa mwaka, sisi yetu ni 13.3 billion. KWA HUYU RAIS HATUENDI MBELE ILA TUNARUDI NYUMA.
Bora na ww umenisaidia maana humu ndani nikichukua msimamo wa ukweli wabongo wanadai eti mm ni mkenya wa mbagala unajifanya mbongo wanasahau kuwa cpendi uzalendo wa kijinga,mbona wakenya penye shortcoming wanakubari lakini akina ichobyo and co hawatakuelewa
 
dream houses in inclusive economy,haa haa hatari Tzn tulishaga feli kwenye mipango miji sana
TANZANIA HATUNA MIPANGO MIJI....KILA MTU ANAJENGA KIVYAKE VYAKE. ASILIMIA 80 KWENYE MIJI YETU HAIJAPANGWA (NI USWAHILINI) BADO MKULU ANASEMA MSIWASUMBUE WALIOJENGA MILIMANI, KWENYE VYANZO VYA MAJI, MABONDENI, KWENYE VYANZO VYA MITO ETC. KWA SABABU WALIMPA KURA. BADO MIJI YETU NI HOVYO HOVYO OVYO KABISA!!!!!!!
USWAHILI NA KUOGOPA KUTOPIGIWA KURA WAMEONA NI BORA HUKU MIJI YETU IKIWEKWA REHANI IENDELEE KUJENGWA BILA MIPANGILIO ETI KWA KISINGIZIO "HAWA NDIYO WALINIPA KURA"
 
Hili nakubalia nawewe kwa kiasi fulani. Lakini sio miji yote labda dar tu maeneo machache.
 
TANZANIA HATUNA MIPANGO MIJI....KILA MTU ANAJENGA KIVYAKE VYAKE. ASILIMIA 80 KWENYE MIJI YETU HAIJAPANGWA (NI USWAHILINI) BADO MKULU ANASEMA MSIWASUMBUE WALIOJENGA MILIMANI, KWENYE VYANZO VYA MAJI, MABONDENI, KWENYE VYANZO VYA MITO ETC. KWA SABABU WALIMPA KURA. BADO MIJI YETU NI HOVYO HOVYO OVYO KABISA!!!!!!!
USWAHILI NA KUOGOPA KUTOPIGIWA KURA WAMEONA NI BORA HUKU MIJI YETU IKIWEKWA REHANI IENDELEE KUJENGWA BILA MIPANGILIO ETI KWA KISINGIZIO "HAWA NDIYO WALINIPA KURA"
Kwahiyo wewe unataka watu wavunjiwe nyumba sababu tu hazijakaa kwa mistari??
 
mimi niko sawa na tilapia ya lake victoria hapo kwa mama oliech na mlima wa sima.The best food in the world.....na kaskuma wiki kwa umbaliiiii.......seafood kusema ukweli is overrated
Hiyo ni ile base ya Zuckerberg ule wa Facebook?
 
unemployment inawapeleka mbaya sana hawa wakora katika nchi yao. View attachment 726231
Sisi unemployment ipo percentage ngapi? Kama ukishindwa kupata au wakikunyima kukupa data hao NBS, fanya hesabu rahisi kidogo 1. Angalia wangapi katika familia yako wanafanya kazi ya kuajiriwa 2. Angalia inapotokea ajali ya barabarani au mwizi kauawa kwenye miji yetu ni watu wangapi wanakuwa wamesimama na kushangaa shangaa hayo matukio 3. Angalia miji yetu ilivyojaa watu mitaani wakipiga stories za vijiweni. 4 Tafuta takwimu ya uzalishaji wa viwandani na mapato yanayopatikana halafu fananisha na Kenya 5 Pita mitaani angalia hali ya maisha na nyumba za wananchi wetu.
UKIMALIZA KUFANYA YOTE HAYO UTAWEZA KUJUA KAMA TUNA TATIZO LA AJIRA AU HAPANA!
 
Back
Top Bottom