ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
uahhaha sio mm walaumu hawa😀😀😀Sasa unajifanya unajua Kenya ku2shinda
uahhaha sio mm walaumu hawa😀😀😀Sasa unajifanya unajua Kenya ku2shinda
Hapo kwa hio list hamna LDC actually wanaotuongoza ni wale mnaowazungushia kibakuli chenyu cha omba omba.
hehehe MLDC with jungle of slums😀😀😀Hapo kwa hio list hamna LDC actually wanaotuongoza ni wale mnaowazungushia kibakuli chenyu cha omba omba.
Hapo kwa hio list hamna LDC actually wanaotuongoza ni wale mnaowazungushia kibakuli chenyu cha omba omba.
zunguka tanzania nzima huez kuta mtu anaisha kwenye mabanda kama haya 😀😀😀😀😀sijui mbona watanzania wengi wamehepa kwao...lol.but rural Tanzania is a horror of poverty mtu anaweza hata toa machozi....even their fertile zones are horrible.
Are you cursed like your friends?sijui mbona watanzania wengi wamehepa kwao...lol.but rural Tanzania is a horror of poverty mtu anaweza hata toa machozi....even their fertile zones are horrible.
Just Praise Me anaona Kenya ndio kioo cha maendeleo.Nauliza kati ya Tanzania na Kenya nchi gani imeendelea? Nauliza hivyo kwa sababu kila siku tunasifia ujenzi wa fly overs Tazara na Ubungo, ununuzi wa ndege na ujenzi wa standard gauge railway kuwa ndo maendeleo.
Sasa wenzetu Kenya SGR tayari wanayo, ndege wanazo kama ifuatavyo: Boeing 787 ndege 7, Boeing 737-800 ndege 8, Boeing 737-700 ndege 2 na Embraer 190 ndege 15. Wana flyovers kila kona ya Nairobi na Mombasa.
Je, kwa mtanzamo wa wanaCCM Kenya ni nchi iliyoendelea?
Angalia level za ufisadi,umaskini na vijana kutokua na kazi kwa Kenya halafu uje kulinganisha na Tanzania hapo utachagua mwenyewe ujiweke kwenye kundi gani mwerevu au mjingaKenya wameelimika,yaani mpaka rais anasikia ufahari kuongoza watu wanaojitambua,tofauti na kwingine eti MTU anajiita Kiongozi bora wakati anawaongoza ni wajinga na hawajitambu,akiamua kuchukua fedha za afya na kununua meli kubwa anashangiliwa ooohooo Africa una mdudu gani wewe?
Kinachowafanya kenya kuendelea kuliko sisi ni kua na rais mwenye hekima na busara na katiba nzuri.
KWANI TANZANIA KAZI ZIPO WAPI??? ANGALIA TAKWIMU YA WAKENYA WALIO NA KAZI HASA SECTOR BINAFSI HALAFU LINGANISHA NA TANZANIA! TUPO NYUMA MIAKA 20 KULINGANISHA NA KENYA KUANZIA UCHUMI, ELIMU NA MITAZAMO (MINDSET), Wakenya wapo wengi nje ya nchi wenye kazi za maana mara 15 au 20 ya watanzania, na wana-cope na mazingira wanayoishi kuliko sisi watanzania.....kwa ufupi wakenya ni watafutaji na wanafahamika dunia nzima. Obama hakupatikana kibahati, sisi tunajikongoja hata kutembea hatujaweza wakati wenzetu Wakenya na waafrika wengine wanatimua mbio. Rais wetu kila siku anazungumzia Flyovers mbili za Dar ES Salaam wakati wenzetu kwao zimejaa, mtandao wa barabara za kwao zikiwamo Expressway zipo kwa zaidi ya mara mbili kulinganisha na za kwetu, elimu yetu bado sana....wanamaliza vyuo lakini hata barua za kuomba kazi inakuwa changamoto kuziandika. Kenya airways imejaa madege ya kila aina, Uwanja wa Jomo Kenyatta wanashuka wasafiri millioni 6.3 wakati Julius Nyerere wanashuka chini ya millioni 2.4 kwa mwaka, Vyuo vikuu vyao ni bora karibu vyote vipo kwenye vyuo vikuu bora 100 kwa nchi za Afrika sisi vinaingia viwili tu...Bado tu hujajiona upo wapi ndugu?Angalia level za ufisadi,umaskini na vijana kutokua na kazi kwa Kenya halafu uje kulinganisha na Tanzania hapo utachagua mwenyewe ujiweke kwenye kundi gani mwerevu au mjinga
Kinachowafanya kenya kuendelea kuliko sisi ni kua na rais mwenye hekima na busara na katiba nzuri.
Nauliza kati ya Tanzania na Kenya nchi gani imeendelea? Nauliza hivyo kwa sababu kila siku tunasifia ujenzi wa fly overs Tazara na Ubungo, ununuzi wa ndege na ujenzi wa standard gauge railway kuwa ndo maendeleo.
Sasa wenzetu Kenya SGR tayari wanayo, ndege wanazo kama ifuatavyo: Boeing 787 ndege 7, Boeing 737-800 ndege 8, Boeing 737-700 ndege 2 na Embraer 190 ndege 15. Wana flyovers kila kona ya Nairobi na Mombasa.
Je, kwa mtanzamo wa wanaCCM Kenya ni nchi iliyoendelea?