Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wpid-wpid-screenshot_2015-11-03-11-14-16-1.png
 
kasema mwenzio RIP na tushasema sana
Hapana tafuta tafuta habari za kuhuzunisha za Kenya na kuzileta hapa kwa utani babaa hata sisi tunaweza kufanya hivo lakini akili zetu si mbovu na zenye chuki na wivu kama zenu.
 
Hapana tafuta tafuta habari za kuhuzunisha za Kenya na kuzileta hapa kwa utani babaa hata sisi tunaweza kufanya hivo lakini akili zetu si mbovu na zenye chuki na wivu kama zenu.
kuuwana kwenu ni kawaida ndio maana hua sishangai kabisa its normal
 
Rudi economics class uelewe maana ya PPP na mapungufu yake kupima uwezo wa Nchi kiuchumi.
Acha maneno "mingi" wewe jirani, unakaa kama "umegonjeka"?

Unafahamu kuwa PPP inahusisha thamani halisi ya fedha ya nchi husika na hii inakupa uhalisia wa uchumi kwa kila nchi?

Hivi wewe kama kwa shilingi 70 "yenyu" huwezi hata kupata chakula kwenye restaurant wakati kwa pesa hiyo hiyo unapata chakula kizuri Tanzania, utatumiaje kigezo cha nominal kama kipimo sahihi cha uchumi?
 
Just Praise Me anaona Kenya ndio kioo cha maendeleo.
Hataki Tujifunze kutoka kwenye nchi za Kiasia zenye maendeleo makubwa ya kiuchumi kama Malaysia, Indonesia, Philippines etc ambazo tulipata nazo Uhuru sawa
Kama lipi??
 
Congratulations to the Kenyan Harambee starlets who have just won their game against Zambia .Full time Harambee starlets 3 Zambia 0.
 
Back
Top Bottom