Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehehehee download and soma this paper bro.........

Tanzania Toll Road: Chalinze to Dar es Salaam | NEPAD kitu cha PDF afu cheki wadau walioko ndani wahako kwa masihara masihara cheki pia na time frame iliyowekwa kwny hiyo paper afu uwe unafuatilia,kama TZ kazi yetu ni nyepesi tu sana "compensation" interchange zakumimina ukitaka michoro yake niambie ntakupa!!!!!

"JITU LILILOLALA LAAMKA"
That's the spirit. Keep the fire burning
 
Superhighway haipo Dar sembuse Arusha? Sasa unaiona sababu yangu na wenzangu kuamua kuilinganisha Dar na Mombasa tupo sahihi.
arusha baby
IMG-20180324-WA0034.jpeg
 
Endelea kuzunguka na bahasha ya khaki kutafuta ajira, zaidi ya hilo elimu uliyonayo haiwezi kukusaidia, kumbuka kwamba elimu ni tochi inayosaidia watu wenye macho kuona kwenye giza, ila tochi haiwezi kumsaidia kipofu.
Umeanza kuongea kama nyang'au.
mwaswast inamaana kweli mumelaaniwa
Au ni vile umaskini umewakumbatia
View attachment 724299
Mimi Niko sawa ila wewe umelaaniwa kwa kuwa unafuata sana stations za Kenya na kuchangia kwa umaarufu wake...si umecheki Nation Media imetuzwa kuwa bora East Africa.
 
Umeanza kuongea kama nyang'au.
Mimi Niko sawa ila wewe umelaaniwa kwa kuwa unafuata sana stations za Kenya na kuchangia kwa umaarufu wake...si umecheki Nation Media imetuzwa kuwa bora East Africa.
Uhahaha wenzenu umaskini umewatandika mpaka wanadai wamelaaniwa
 
Hahaha.....daresalaam is not developed outside the cbd radius as common in many African countries the cbd is spruced up with some few towers and nice boulevards but when done with that small portion it's all chaos and frenzy.......Atleast Nairobi has a good number of planned neighbourhoods covering a large portion of the city...with the slum areas covering 5% of the city but all in all NBO has maintained its high rank up there in Africa because of the vibrant real estate culture and organized way of living......viva Nairobi city
.

Dar_es_salaam_youtube.com-2018-03-24-02-14-57.png

Dar_es_salaam_youtube.com-2018-03-24-02-18-33.png


Dar_es_salaam_youtube.com-2018-03-24-02-17-42.png

Source
 
Tatizo la dar ni uchafu,disorganized settlements na kukosa classic infrastructures,,hizi issues zingekuwa tackled nadhani DAR ingekuwa classic sana
Mkuu inaelekea haujui kitu kuhusu data za nchi yako vile vile siyo mfuatiliaji wa mambo halisi indeep na hauelewi chochote kuhusu kenya.....endelea na unachokiamini.....

Kuuliza si ujinga
 
Unajua nairobi ni ndogo sana alaf kibaya zaidi mji wao haujatanuka ndio maana iliwalazimu kuweka flyovers kwasababu nairobi mpaka leo pamoja na flyovers hzo bado iko na foleni mbaya zaidi duniani

Upande wa dar ni kwamba, dar kuna barabara nyingi sana especially za michepuko na hata pia ukiangalia roada in km dar imeiacha nairobi mbali sana
Evidence muhimu na sio ile unapenda ya mdomo.
 
Rudi nyuma miaka kumi iliyopita angalia GDP ya hizi nchi mbili zilikuaje, kuanzia hapo Tanzania ilkuwa kwa kasi ya 7%, na Kenya wastani wa 5.5%, piga hesabu kwa kutumia akili yako, acha kusikiliza habari za kwenye mitandao, shule uliyokwenda ni lazima uitumie kila sehemu, sio kwa ajili ya kuomba kazi tu, vinginevyo utaburuzwa na kudanganywa na kila mtu hapa duniani.
Huyo jamaa kapotea njia......hawa ndiyo wale makuzi wa jf
 
Back
Top Bottom