ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huyo kilaza achana nae ni mkenya huyo falaKaka tumia akili usionekane **** hapa jamvini, kwani kichwa chako hakifanyi kazi ya kufikiria kiasi cha kushindwa kujiuliza swali dogo kama hili?. Gari mbili zinafukuzana, moja ilitangulia mbele, baadae lile la nyuma likaanza kuongeza kasi na lile lililotangulia likapata matatizo ya gear likawa linatembea na gear namba 2, speed haizidi 50km/hr, wakati lile la nyuma linakwenda kwa speed ya 70km/hr, je umbali uliopo kati ya hizi gari mbili utapungua au kuongezeka?