ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,252
Ni safi sana,ridhika basi ubishani hua sitakiDar ni chafu?
Ni safi sana,ridhika basi ubishani hua sitakiDar ni chafu?
Ni safi sana,ridhika basi ubishani hua sitakiDar ni chafu?
Sio chini ya miongo 2 kufikia walipo Leo,sasa hadi Ku catchup si tutakuwa marehemuRudi nyuma miaka kumi iliyopita angalia GDP ya hizi nchi mbili zilikuaje, kuanzia hapo Tanzania ilkuwa kwa kasi ya 7%, na Kenya wastani wa 5.5%, piga hesabu kwa kutumia akili yako, acha kusikiliza habari za kwenye mitandao, shule uliyokwenda ni lazima uitumie kila sehemu, sio kwa ajili ya kuomba kazi tu, vinginevyo utaburuzwa na kudanganywa na kila mtu hapa duniani.
Umemaliza ndugu mkenya😀😀😀😀Sio chini ya miongo 2 kufikia walipo Leo,sasa hadi Ku catchup si tutakuwa marehemu
Endelea kuzunguka na bahasha ya khaki kutafuta ajira, zaidi ya hilo elimu uliyonayo haiwezi kukusaidia, kumbuka kwamba elimu ni tochi inayosaidia watu wenye macho kuona kwenye giza, ila tochi haiwezi kumsaidia kipofu.Sio chini ya miongo 2 kufikia walipo Leo,sasa hadi Ku catchup si tutakuwa marehemu
PoleEndelea kuzunguka na bahasha ya khaki kutafuta ajira, zaidi ya hilo elimu uliyonayo haiwezi kukusaidia, kumbuka kwamba elimu ni tochi inayosaidia watu wenye macho kuona kwenye giza, ila tochi haiwezi kumsaidia kipofu.
Sasa ulipochangia mada ulitegemea watu wakae kimya au wakuunge mkono yale yote unayosema?, kila anayechangia mawazo yake unasema ni ubishani, sasa umekuja huku kwenye JF kufanya nini?Aisee ubishani ndo siujui,kwamba ww huoni uzuri wa barabara za kisasa za Nairobi hadi tuanze discussion?
Umemaliza ndugu mkenya😀😀😀😀
56b vs 51.6 umeona tofaut kubwa sama
Sina uhakika kama anajua GDP ninini na inavyokokotolewa, nimemshauri arudi nyuma miaka kumi atazame GDP za hizi nchi mbili, kisha aanze kupiga hesamu kwa kutumia 7% kwa Tanzania na 5.5% kwa Kenya, hadi leo ndiyo atajua tofauti, kashindwa badala yake anasikiliza makelele ya kwenye mitandao.Umemaliza ndugu mkenya😀😀😀😀
56b vs 51.6 umeona tofaut kubwa sama
Kufa nayo hio😀😀😀😀Leteni relevant data from credible source sio kuedit taarifa
Huyo ni mkenya anaejifanya mtanzania achana nae tulishamshtukia since day one 😀😀Sina uhakika kama anajua GDP ninini na inavyokokotolewa, nimemshauri arudi nyuma miaka kumi atazame GDP za hizi nchi mbili, kisha aanze kupiga hesamu kwa kutumia 7% kwa Tanzania na 5.5% kwa Kenya, hadi leo ndiyo atajua tofauti, kashindwa badala yake anasikiliza makelele ya kwenye mitandao.
well said....Hahaha.....daresalaam is not developed outside the cbd radius as common in many African countries the cbd is spruced up with some few towers and nice boulevards but when done with that small portion it's all chaos and frenzy.......Atleast Nairobi has a good number of planned neighbourhoods covering a large portion of the city...with the slum areas covering 5% of the city but all in all NBO has maintained its high rank up there in Africa because of the vibrant real estate culture and organized way of living......viva Nairobi city
World Bank values Dar’s real estate $3b more than Nairobiwell said....
BUT
for some cases kama za barabara tukiizungumzia NBO its true iko rank ya juu...
kuhusu estates hilo halina ubishi pia...
Lakini kuhusu kuendelea, Dar imepiga hatua kubwa mno, pembezoni mwa jiji kumeendelea kupita maelezo....
Unaposema Dar imejengeka CBD tuu basi bila shaka utakua hiujui Dar vizuri
Ukitoa CBD + Uswazi's places other places are superb
Isitoshe Dar ni kubwa kulinganisha na NBO kwahiyo probably ya kuendelea ni kubwa vivo hivyo
Zinakua njia ngap...Na wametoa soft loan of 200m usd expansion of road from moro to dodoma
Nahisi wanaongeza moja moja kila upande moro to dodomaZinakua njia ngap...
Unajua nairobi ni ndogo sana alaf kibaya zaidi mji wao haujatanuka ndio maana iliwalazimu kuweka flyovers kwasababu nairobi mpaka leo pamoja na flyovers hzo bado iko na foleni mbaya zaidi dunianiwell said....
BUT
for some cases kama za barabara tukiizungumzia NBO its true iko rank ya juu...
kuhusu estates hilo halina ubishi pia...
Lakini kuhusu kuendelea, Dar imepiga hatua kubwa mno, pembezoni mwa jiji kumeendelea kupita maelezo....
Unaposema Dar imejengeka CBD tuu basi bila shaka utakua hiujui Dar vizuri
Ukitoa CBD + Uswazi's places other places are superb
Isitoshe Dar ni kubwa kulinganisha na NBO kwahiyo probably ya kuendelea ni kubwa vivo hivyo
Story mob...kindondoni district ambayo ndio sehemu ilioendelea zaidi kwa dar achili kule CBD mostly iko planned...sijui unaongea nn ataHahaha.....daresalaam is not developed outside the cbd radius as common in many African countries the cbd is spruced up with some few towers and nice boulevards but when done with that small portion it's all chaos and frenzy.......Atleast Nairobi has a good number of planned neighbourhoods covering a large portion of the city...with the slum areas covering 5% of the city but all in all NBO has maintained its high rank up there in Africa because of the vibrant real estate culture and organized way of living......viva Nairobi city
Piga hesabu wewe mwenyewe, kila kitu kipo wazi, au shule ulienda kusoma kiingereza nw tribalism pekee?Leteni relevant data from credible source sio kuedit taarifa
kama dude la kupikia vitumbua 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀