Hakuna mji wa kishamba kama kisumu..Kisumu iko na interchange, Dar bado inaweweseka karne ya 21. Kisumu vs Dar es Salaam coming right up.
Povu ruksa!
Kisumu taxi zao ni baiskeli hata eldoret taxi ni baiskeli😀😀😀😀😀😀Hakuna mji wa kishamba kama kisumu..
Ukitoa nbo na mombasa mji wa maana Ni eld
Kati ya majengo nayoyapenda ni hilo la nhc morocco square na prism tower
Aisee hizi takwimu kama ni kweli basi Tzn tuna kazi kubwa ya kuja kufikia Kenya,lol........sisi ni wale wasee
View attachment 723950
Kaka tumia akili usionekane juha hapa jamvini, kwani kichwa chako hakifanyi kazi ya kufikiria kiasi cha kushindwa kujiuliza swali dogo kama hili?. Gari mbili zinafukuzana, moja ilitangulia mbele, baadae lile la nyuma likaanza kuongeza kasi na lile lililotangulia likapata matatizo ya gear likawa linatembea na gear namba 2, speed haizidi 50km/hr, wakati lile la nyuma linakwenda kwa speed ya 70km/hr, je umbali uliopo kati ya hizi gari mbili utapungua au kuongezeka?Aisee hizi takwimu kama ni kweli basi Tzn tuna kazi kubwa ya kuja kufikia Kenya,
Sasa ndo umeongea nn ww kiazi Mzee,nimesema kuna kazi kubwa ya kuifikia,çhukua kiasi cha gdp in amount kinachoongezeka kila mwaka kwa kila nchi then linganisha tuone kama tutawafikia in a near future,,maana growth rates sometime ni misleading hasa kunapokuwa na gap ya GDP baina ya nchiKaka tumia akili usionekane **** hapa jamvini, kwani kichwa chako hakifanyi kazi ya kufikiria kiasi cha kushindwa kujiuliza swali dogo kama hili?. Gari mbili zinafukuzana, moja ilitangulia mbele, baadae lile la nyuma likaanza kuongeza kasi na lile lililotangulia likapata matatizo ya gear likawa linatembea na gear namba 2, speed haizidi 50km/hr, wakati lile la nyuma linakwenda kwa speed ya 70km/hr, je umbali uliopo kati ya hizi gari mbili utapungua au kuongezeka?
Tatizo la dar ni uchafu,disorganized settlements na kukosa classic infrastructures,,hizi issues zingekuwa tackled nadhani DAR ingekuwa classic sanaDar es salaam ipo very classic n smart looking than Nairobi wallahi.. nairobi yes inajengeka ila sio the same way as dar yapo tupo two different page of city looks
Rudi nyuma miaka kumi iliyopita angalia GDP ya hizi nchi mbili zilikuaje, kuanzia hapo Tanzania ilkuwa kwa kasi ya 7%, na Kenya wastani wa 5.5%, piga hesabu kwa kutumia akili yako, acha kusikiliza habari za kwenye mitandao, shule uliyokwenda ni lazima uitumie kila sehemu, sio kwa ajili ya kuomba kazi tu, vinginevyo utaburuzwa na kudanganywa na kila mtu hapa duniani.Sasa ndo umeongea nn ww kiazi Mzee,nimesema kuna kazi kubwa ya kuifikia,çhukua kiasi cha gdp in amount kinachoongezeka kila mwaka kwa kila nchi then linganisha tuone kama tutawafikia in a near future,,maana growth rates sometime ni misleading hasa kunapokuwa na gap ya GDP baina ya nchi
Dar ni chafu?Tatizo la dar ni uchafu,disorganized settlements na kukosa classic infrastructures,,hizi issues zingekuwa tackled nadhani DAR ingekuwa classic sana
Tatizo la dar ni uchafu,disorganized settlements na kukosa classic infrastructures,,hizi issues zingekuwa tackled nadhani DAR ingekuwa classic sana
Mkenya anaejifanya mtanzania 😀😀😀Aisee hizi takwimu kama ni kweli basi Tzn tuna kazi kubwa ya kuja kufikia Kenya,