Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Salam ndg wote na watani zetu wa huko Nai mimi ni mgeni ila nina nondo za kutosha tu kwa maana ya kuiboresha na kuitetea EA yetu espeacially kwa nchi yangu pendwa kabisa TZ,nimemshangaa sana huyu jamaa kufananisha kiwanda cha mabati na JNIA TB3 kupiga picha ya Terminal Building 3 ya JNIA unahitaji kwenda juu sana ili ku cover the whole building acha facilities zilizomo ndani na kwa taarifa yako hiki kijiji cha JNIA kikimalizika mtabaki hoi kabisa tumejipanga
Kabisa......hawaelewi hao..
 
nenda kwenye hii link Tenders
afu download this: Advertisement for Pre-qualification of 4 Star Hotel Developer and other Landside Commercial Developers at JNIA and also the following: Advertisement for Pre-qualification of various business at TB III
afu nitafute inbox nikueleze in details wapi tulipofikia maana ndo sehemu yangu ya kazi jombaa!!!!makampuni zaidi ya mia yameomba kuwekeza hapa kazi kwetu sisi kuchagua among the best tofauti na hapo ukitaka kujua hili jengo ni kubwa ukikata kona kuingia barabara kubwa kwenda mjini tathimini njiani mpaka unalimaliza!!!!one of a kind in East Africa,period!!!!!
Tisha sana chief
 
Mkuu inaelekea haujui kitu kuhusu data za nchi yako vile vile siyo mfuatiliaji wa mambo halisi indeep na hauelewi chochote kuhusu kenya.....endelea na unachokiamini.....

Kuuliza si ujinga
Kubishana sio hulka yangu,tufanye hivi hizo sifa sio za DAR ni za Nairobi yaani dar ni safi,imejengwa kwa mpangilio na ina miundombinu ya barabara za kisasa,case closed
 
Kubishana sio hulka yangu,tufanye hivi hizo sifa sio za DAR ni za Nairobi yaani dar ni safi,imejengwa kwa mpangilio na ina miundombinu ya barabara za kisasa,case closed
Dhumuni la hii thread ni ushindani wa haya majiji mawili nakinachoendelea hapa siku zote tokea thread inaanza nikuwafunza wakenya kuwa dar haipo kama wanavyopotoshana wakenya wengi walio humu hawaijui dar kabisa na hawajawahi hata kufika ila katika hii thread tupo wabongo ambao tunaijua nairobi .....hivyo kuhusu mazingira yao wanavyoishi,behaviour zao pia jiji lao kwa ujumla lilivyo kiukweli nairobi imechakaa sana kulinganisha na dar na imejwngeka sehemu ndogo sana pwngine ni vichaka lakini kama hujawahi fika nairobi na kwajinsi wanavyojisifu hakika lazima mtu upagawe ila ni city ya kawaida sana na ni jiji chafu...


Ulichokosea wewe umekurupuka ungejenga kitu kwa hoja hivyo ndivyp thread inavyoenda
 
Kubishana sio hulka yangu,tufanye hivi hizo sifa sio za DAR ni za Nairobi yaani dar ni safi,imejengwa kwa mpangilio na ina miundombinu ya barabara za kisasa,case closed
Kama kubishana sio kawaida yako, toka humu JF haraka iwezekanavyo, asili na lengo la hizi forum ni kubishana kwa hoja, kama huwezi rudi Kibera ukaendelee na maisha.
 
Upper Hill et CBD view from Westlands
nai1.jpg
nai2.jpg
nai3.jpg
 
Ichioboy na other who keep on saying that gdp ya kenya ni 55 or 56 billion. Sorry to disappoint you guys, but we are in the region of 80 plus billion in 2018 while nyinyi mko 50 plus billion, and you have a higher population than us. this is from 2016, 2 years ago. But mkitaka kulialia mpunguze gdp ya kenya mfeel good about your sad state, be my guests
gdptz.PNG
 
Ichioboy na other who keep on saying that gdp ya kenya ni 55 or 56 billion. Sorry to disappoint you guys, but we are in the region of 80 plus billion in 2018 while nyinyi mko 50 plus billion, and you have a higher population than us. this is from 2016, 2 years ago. But mkitaka kulialia mpunguze gdp ya kenya mfeel good about your sad state, be my guestsView attachment 724590
Endelea na dozi ya matumaini😀😀
80b alaf muombe msaada wa chakula, 80b alaf gvt is broke heheheh unafkiri 80b ni kama kula andazi
 
Dar city area 1590km sq
Nairobi city area 696km sq
Umeridhika😀😀😀😀😀😀
Yeah but I hope unaelewa metropolis, Hio ni size ya Nairobi but urbanisation haiishi na nairobi, it goes as far as 40 plus kilometres to Thika, unaenda pande za Athi River etc, whic are in other counties but part ya metropolis
 
Yeah but I hope unaelewa metropolis, Hio ni size ya Nairobi but urbanisation haiishi na nairobi, it goes as far as 40 plus kilometres to Thika, unaenda pande za Athi River etc, whic are in other counties but part ya metropolis
We are talking of city area usichanganye mada hvo ni vitu viwili tofaut kabisa😀😀
 
but umeona ni 80 billion, sio, so wacha wivu banaaa
Wivu wa nn sasa wakat serekali haina pesa hio 80b iko wapi???? Wakat munapewa msaad wa chakula hio 80b inafanya nn?? Wakat munaingia kwenye mikopo mpaka nchi inaingia matatani hio 80b iko wapi??? Yani mufkishe deni la 60% debt to gdp ratio hio Gdp ya 80 iko wpi yani utumie akili ya kuzaliwa tu na sio nguvu😀😀😀
 
Back
Top Bottom