Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Ha haaa,,eti kama dude la kupikia vitumbua,,superhighway...!kama dude la kupikia vitumbua 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Dar es salaam ipo very classic n smart looking than Nairobi wallahi.. nairobi yes inajengeka ila sio the same way as dar yapo tupo two different page of city looks
It's called Purchasing power...sugar consumption nayo ni sifa ya kuwa DC?
Mbona chakula hamuna purchasing power😀😀😀😀😀It's called Purchasing power...
Hakuna siku ikapita bila kulia au kila siku we unaonewa tu😀😀😀😀😀City maskini disorganized ndio unatuambia ama,
kujenga towers along the road kuficha aibu upande wa nyuma...
We have the purchasing power that why all E.African countries want to export food to Kenya.Mbona chakula hamuna purchasing power😀😀😀😀😀
Uhahaha kwa vile nyie hamuna munapewa misaada na wachina na UN kwenye chakula 😀😀😀😀😀We have the purchasing power that why all E.African countries want to export food to Kenya.
Sijawahii sikia misaada ya sukari???Uhahaha kwa vile nyie hamuna munapewa misaada na wachina na UN kwenye chakula 😀😀😀😀😀
Misaada ya nn sasa munayochukua???
Am talking of food we vp😀😀😀Sijawahii sikia misaada ya sukari???