Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuonya ujasikia ona sasa yanayokukuta
Screenshot_2018-03-23-14-43-13.jpg
 
Ukizidiwa katika uwanja wa mapambano chochote unachokiona mbele yako ni silaha, hawa jamaa wamezidiwa sana, kila wanachokisoma na kukiona kwao wanadhani kitawasaidia, usishangau kusikia akisema Kenya inaongoza kwa kunya sana.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Umeeona jinsi unavyotumia umasikini na uchafua wa Kenya unaosababishwa na kuwa failed state kusingizia ni Tanzania?, jamaa amekuumbua, hata hiyo picha yenye udongo mwekundu pia ni picha ya Nairobi unajaribu kuisukuma kwetu
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankings
Mimi nataka wimbo wa failed state hayo maneno mengine patia wengine. Back to topic wapi wimbo as fast as possible.
 
Back
Top Bottom