Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kuhusu our new modern and the biggest airport in EA, wewe ni mtu wa kupenda picha sana, vipi umerizika?,
Sipendi umbea so kama hakuna Picha siwezi kusadiki maneno yako mengi. Huu ndio ukweli wa Watu toka Failed states.
 
Hiyo hapo juu ndo mikocheni? Hiyo patia Syokimau ama Lang'ata zitaendana sawa, sio Karen. Huwezi linganisha karen na kitu ya uxhwara kama huo. And for your information, Karen is not even the best estate in Nairobi. Ukiingia Muthaiga utashangaa babaa....Many publications have described Muthaiga as the Beverly Hills of Nairobi.
Uko poa lakin...muthaiga picha tupaone maneno mingi hayana nafasi
 
Sasa wasibiri expansion ya dar port imalizike 2020 humu tutakimbiana 😀😀😀😀😀

Hapohapo 2019 tunapokea first phase ya the best and modern electric train in africa alaf 2020 tunapokea second phase to dom

2020 hio hio tunapokea the biggest dam in EA ambayo sasa ujenzi umeshaanza rufiji ambayo utazalisha 2100MW

Mwaka huu mwez wa 7 tunapokea ndege nne kwa mpigo kwa ajili ya Air tanzania

Mwaka huu tunapokea kinyerezi 2 ambayo itazalisha 240MW na huku kinyerezi 3 ujenzi umeshaanza

2020 tunapokea meli ya kwanza bagamoyo port ambayo phase 1 itakua imeshakamilika

2019 tunapokea meli kubwa kabisa bandari ya mtwara amabyo iko under expansion

Etc zingine ongezeeni😀😀😀😀😀
Hahahaha ati 2019 phase I ya SGR imekamilika ilhali hata renders hamjamalizana nazo mwaka unaelekea katikati, kwani mnatengeneza na uchawi wa albinos? Tulia buda na uwe mwepesi pande ya Hasira....SGR yenyu inaanza rasmi 2025 lakini kwa sasa ni mbembwe na mihemko ya kuwadanganya wadanganyika na kuwanunua wana Chadema. Hahahaha povu ruksa na huu mchezo hauhitaji hasira babaa so unajua tunataniana na Pia mnajua Kenya ndio power house Hapa EAC kitu ambacho mnatuweza ni mdomo bakuli so hata unaona vile mmejazana hapa hata kuliko wakenya.
 
Mbona huzungumzii hizo picha za the biggest and ultra modern airport in EA, au picha hujaziona?.
https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.html
 
Hiyo pikipiki Anayoiendesha JayZ mbn km ya BONGO
FB_IMG_1521639756771.jpg
FB_IMG_1521639749621.jpg
 
Hahahaha ati 2019 phase I ya SGR imekamilika ilhali hata renders hamjamalizana nazo mwaka unaelekea katikati, kwani mnatengeneza na uchawi wa albinos? Tulia buda na uwe mwepesi pande ya Hasira....SGR yenyu inaanza rasmi 2025 lakini kwa sasa ni mbembwe na mihemko ya kuwadanganya wadanganyika na kuwanunua wana Chadema. Hahahaha povu ruksa na huu mchezo hauhitaji hasira babaa so unajua tunataniana na Pia mnajua Kenya ndio power house Hapa EAC kitu ambacho mnatuweza ni mdomo bakuli so hata unaona vile mmejazana hapa hata kuliko wakenya.
Renders tukuoneshe ya nn wakat sisi tunataka kukuonesha kitu halisi hehehe yani hii SGR mutalia kilio cha mbwa😀😀😀😀
 
Bado tunangoja Bagamoyo port, SGR, Boeing/ Bombardier, Pipeline na usisahau kuniambia bei ya saruji so usiingie mitini kama wakati ule.
 
Back
Top Bottom