ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nyimbo ya LDC imechuja sasa😀😀Si unaelewa tuliwaachia muwe mnatukumbusha bado mko pale pale vile umeitaja
Nyimbo ya LDC imechuja sasa😀😀Si unaelewa tuliwaachia muwe mnatukumbusha bado mko pale pale vile umeitaja
Very good indicator of a failed stateRIP security
View attachment 721374
Bagamoyo, SGR , pipeline zitakuumiza sana kichwa sana tena😀😀😀😀😀Bado tunangoja Bagamoyo port, SGR, Boeing/ Bombardier, Pipeline na usisahau kuniambia bei ya saruji so usiingie mitini kama wakati ule.
YepUnataka kucheki Muthaiga really???
Mkuu unachukuliaje Terminal mpya, kubwa na ya Kisasa ya JNIA? Natumaini umeona picha zake, je nini maoni yako?Tuliambiwa hivyo kuhusu Bagamoyo hadi wa Leo tunaingoja tu. Mambo ya Tanzania Mimi huamini nikiyaona kwa macho, midomo kubwa mlibarikiwa bila uhaba...Hii habari yenu hamuwezi mkiapost pale jukwa lenyu sababu mtapondwa na kuulizwa maswali msioweza kujibu wenzenu. Furahia Kenyan Forum hapa ni mahala pa Watanzania kutoroka ukweli na kuwarushia wakenya hasira ila shida zinabaki huko huko Danganyika(LDC).
Reli haiwez jengwa miaka 9 acha story Za ngugi wa thiong'o ...right on next yr,Mark my wordHahahaha ati 2019 phase I ya SGR imekamilika ilhali hata renders hamjamalizana nazo mwaka unaelekea katikati, kwani mnatengeneza na uchawi wa albinos? Tulia buda na uwe mwepesi pande ya Hasira....SGR yenyu inaanza rasmi 2025 lakini kwa sasa ni mbembwe na mihemko ya kuwadanganya wadanganyika na kuwanunua wana Chadema. Hahahaha povu ruksa na huu mchezo hauhitaji hasira babaa so unajua tunataniana na Pia mnajua Kenya ndio power house Hapa EAC kitu ambacho mnatuweza ni mdomo bakuli so hata unaona vile mmejazana hapa hata kuliko wakenya.
wacha nami pia nikupe hii GIF ya Idi Amin dada ilionifurahisha sana...unanichekesha na matamshi yako haya ya jokes😀😀😀. tz railway is just a white elephant...nimekwambia mizigo ya rwanda hata ya nairobi tu inaizidi😀..afadhali gari moshi inayopeleka mizigo Uganda kuliko tembo mweupeUahaha gari moshi 😀😀😀😀
Subiri mwakani ushuhudie phase 1 the modern electric train in africa ndio maana hatutaki hii thread ife tunatana iwe hai mpaka tumalizane vzr
mpe hio kaka akapumzike vzr wasubiri modern stadium in africa inayojengwa dodoma hio ndio hatarii ni motoooo😀😀😀😀
View attachment 721340
Sasa mnaeza timuana na kina Kisumu international Airport.Mkuu unachukuliaje Terminal mpya, kubwa na ya Kisasa ya JNIA? Natumaini umeona picha zake, je nini maoni yako?
ultra modern hospital in chanika over 40km from CBD
![]()
![]()
![]()
ultra modern hospital in chanika over 40km from CBD
![]()
![]()
![]()
Kwani Bandari ya Bagamoyo mumejenga miaka ngapi?Reli haiwez jengwa miaka 9 acha story Za ngugi wa thiong'o ...right on next yr,Mark my word
First ever tarmac road imezinduliwa huko lamuTrending in Tz is different from trending in the world girlfriend.


since independence.. Shithole KenyaIngekuwa bora kama ungeleta source kuthibitisha madai yako. Until that happens, hizi zitabaki tu story za vijiweni za kutuliza rohoCool down dude, huu mchezo mbona hauhitaji hasira?. Kwani ukubwa wa airport unatokana na nini?, kama ni capacity ya abiria, ukubwa wa eneo la jengo la abiria, uwezo wa kuhudumia ndege nyingi kwa wakati mmoja, idadi ya passenger bridges, parking kubwa ya ndege, parking kubwa ya gari, zote hizo JNIA is far ahead of JKIA.
Mbona unahamisha goliKwani Bandari ya Bagamoyo mumejenga miaka ngapi?
Hahaha hii nayo habar ati km15????First ever tarmac road imezinduliwa huko lamusince independence.. Shithole KenyaView attachment 721428
GDP ingesaidia kuimprove kibera na kuacha kutegemea kula githeri na unga wa kupimiwa supermarket na kupunguza muggers kule CBD ingekuwa afadhali lakin km GDP imepikwa na kina uhuruto kupata loan ya mchina imekula kwenu