Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

biggest with 2 million passengers....hahaha.Port Reitz road ya mombasa imekamilika sasa Moi international airport ya Mombasa pia inapanuliwa sawasawa.....
Lazima mchanganyikiwe safari hii, tumetumia $340M kujenga huo uwanja, ninyi mlikua mnahitaji $600M kujenga greenfield terminal with capacity of 20M passengers, lakini serikali yenu imefilisika mkashindwa kujenga, sasa subirini tuwape maumivu ya moyo kidogo(Angina pectoris)
 
wazungu wagani.....Lol.Wewe unajua a first year in a Kenyan university can lecture PhD students in Tanzania
kenya hakuna university ni vyuo vya mkabala kufundisha hotel management na hotel tourism ndo mnazo maana kila kitu kiko managed na wachina kuanzia barabara mpaka reli nyie mnachojua ni kuishi kwenye mabweni yenu ambayo hayapigwi rangi
 
wazungu wagani.....Lol.Wewe unajua a first year in a Kenyan university can lecture PhD students in Tanzania
Pwahahaha Kenya is nothing my friend, Asilimia 95 ya Innovation yote inafanywa na makampuni au Wazungu wanaoishi Kenya
Bongo ni Tofauti, Innovation inafanywa na Vyuo vikuu, na vyuo vya Ufundi ikiwemo veta na vingine, Hata ukiangalia viwanda vidogo na vyakati Tz tunavyotumia ni 97% Tanzania made kupitia SIDO, Ungekua unahudhuria International trade fair ya SABA SABA ndio ungejua Tz ni hatari..
 
Huwez compare kasarani na uwanja wa taifa Dsm
huwez compare terminal 3 jnia na izo godown
mpe hio kaka akapumzike vzr wasubiri modern stadium in africa inayojengwa dodoma hio ndio hatarii ni motoooo😀😀😀😀
FA1408A8-B20B-4BD5-B19B-E78718EC9E78.jpeg
 
hiyo sio Airport ni museum.

dar es salaam international airport is now the talk of the region. photos are trending like nobody's business.
Trending in Tz is different from trending in the world girlfriend.
 
Ngoja mwezi juni hapo zote zinaingia
Tuliambiwa hivyo kuhusu Bagamoyo hadi wa Leo tunaingoja tu. Mambo ya Tanzania Mimi huamini nikiyaona kwa macho, midomo kubwa mlibarikiwa bila uhaba...Hii habari yenu hamuwezi mkiapost pale jukwa lenyu sababu mtapondwa na kuulizwa maswali msioweza kujibu wenzenu. Furahia Kenyan Forum hapa ni mahala pa Watanzania kutoroka ukweli na kuwarushia wakenya hasira ila shida zinabaki huko huko Danganyika(LDC).
 
Back
Top Bottom