joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huo ndiyo wendawazimu wa kiwango cha Kibera, hivi unajua kwanini nchi zinaamua kujenga reli?, lengo kubwa ni kupunguza gharama za usafirishaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi, hiyo sio kwa ajili ya maonyesho, kwamba eti muonekane mumejenga reli, hakuna mfanyabiashara atakayeitumia, itabaki kuwa tembo mweupo na mkopo wa wachina unawakodolea macho.atleast tuna reli...where is urs?😀😀😀😀bado mpo msituni mnapambana na vumbi kujenga white elephant😀😀😀mizigo ya Rwanda hata ya Nairobi tu inaizidi😀😀😀😀