El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
wanashangilia kuwa na rest room ndani ya airport hahaha......Jkia iko ligi yake my frens
Even in Brazil, India and South Africa which have bigger economies but they have slums and poverty, the fact that even bigger economies have problems, doesn't mean we should be comfortable when we have the same problems. By the way have you seen our new modern and biggest airport in EA, how do you compare it with your old and disorganized JKIA?Hawa watu watazidi kuumia juu ya Kenya bure. They think natural calamities like floods are only supposed to happen in kenya. I even brought them a link showing flooding in different cities across the US. It's good umeleta picha ya kuonyesha flooded streets za kwao. Hawa watu sijui wanatumia akili ama nini
Abiri ndege huwezi ona vizuri ukiwa chauffeur wa muindi.Udongo mwekundu dar😀😀😀😀
Sijawah kuona aisee😛😛😛😛😛
Acha wivu, lazima mkubali kwamba enzi za JKIA za kuwa biggest and modern airport in EA, imekwisha. Tumebakisha bandari pekee, after 2022, Mombasa port inafunikwa katika kaburi ya sahau.
sitting room ndio mnasherehekea

kuhusu swali la Airport yetu ulilomuuliza, tegemea kujibiwa kwa emotions. usitegemee fact yoyote.Even in Brazil, India and South Africa which have bigger economies but they have slums and poverty, the fact that even bigger economies have problems, doesn't mean we should be comfortable when we have the same problems. By the way have you seen our new modern and biggest airport in EA, how do you compare it with your old and disorganized JKIA?
Ala! As usual we are always on the lead...yeah we lead the leaders hata naona Burundi, Ugandan na Rwanda wanawapumulia ndani ya mk##du.tunaenda nanyi unyayo kwa unyayo...tunawapumulia makalioni.
View attachment 721195
Bombardier ile yenu moja ya kipekee mliikomboa kutoka kwa wazungu?Hii company siku zote inapumulia ICU haina nafuu leo miaka 5 😀😀😀😀😀😀
Where is it written that it is the biggest in east africa? ama itbis the biggst kwa akili zenu tu? Doing some minor refurbishments on your old airport doesn't give it any bragging rights over JKIA. JKIA is, and will always be the biggest airport this part of the world. Lanes pleaseEven in Brazil, India and South Africa which have bigger economies but they have slums and poverty, the fact that even bigger economies have problems, doesn't mean we should be comfortable when we have the same problems. By the way have you seen our new modern and biggest airport in EA, how do you compare it with your old and disorganized JKIA?
hiyo sio Airport ni museum.wanashangilia kuwa na rest room ndani ya airport hahaha......Jkia iko ligi yake my frens
View attachment 721258

kuhusu swali la Airport yetu ulilomuuliza, tegemea kujibiwa kwa emotions. usitegemee fact yoyote.
picha za airport yetu zimewavuruga sana.
Wataelewa tu, twendeni nao mdogo mdogosio kwa povu hili aise.Where is it written that it is the biggest in east africa? ama itbis the biggst kwa akili zenu tu? Doing some minor refurbishments on your old airport doesn't give it any bragging rights over JKIA. JKIA is, and will always be the biggest airport this part of the world. Lanes please

Vipi kuhusu our new modern and the biggest airport in EA, wewe ni mtu wa kupenda picha sana, vipi umerizika?,Ala! As usual we are always on the lead...yeah we lead the leaders hata naona Burundi, Ugandan na Rwanda wanawapumulia ndani ya mk##du.
Ngoja mwezi juni hapo zote zinaingiaBombardier ile yenu moja ya kipekee mliikomboa kutoka kwa wazungu?
Acha hasira ni hasara😀😀😀Mugger ni wewe na nyanyako. Jibu swali, kama hauna jibu funika hiyo mdomo inanuka
Uhahahahha fimbo inachapa😀😀😀Endeleni kujaza jiji lenu na machangaduo aka dream houses. Kwa upande wa mitaa na mipangilio ya mitaa Dar hainusi Nairobi hata robo
Hasira hio haifai😀😀😀😀Abiri ndege huwezi ona vizuri ukiwa chauffeur wa muindi.