Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is it written that it is the biggest in east africa? ama itbis the biggst kwa akili zenu tu? Doing some minor refurbishments on your old airport doesn't give it any bragging rights over JKIA. JKIA is, and will always be the biggest airport this part of the world. Lanes please
Cool down dude, huu mchezo mbona hauhitaji hasira?. Kwani ukubwa wa airport unatokana na nini?, kama ni capacity ya abiria, ukubwa wa eneo la jengo la abiria, uwezo wa kuhudumia ndege nyingi kwa wakati mmoja, idadi ya passenger bridges, parking kubwa ya ndege, parking kubwa ya gari, zote hizo JNIA is far ahead of JKIA.
 
Sasa wasibiri expansion ya dar port imalizike 2020 humu tutakimbiana 😀😀😀😀😀

Hapohapo 2019 tunapokea first phase ya the best and modern electric train in africa alaf 2020 tunapokea second phase to dom

2020 hio hio tunapokea the biggest dam in EA ambayo sasa ujenzi umeshaanza rufiji ambayo utazalisha 2100MW

Mwaka huu mwez wa 7 tunapokea ndege nne kwa mpigo kwa ajili ya Air tanzania

Mwaka huu tunapokea kinyerezi 2 ambayo itazalisha 240MW na huku kinyerezi 3 ujenzi umeshaanza

2020 tunapokea meli ya kwanza bagamoyo port ambayo phase 1 itakua imeshakamilika

2019 tunapokea meli kubwa kabisa bandari ya mtwara amabyo iko under expansion

Etc zingine ongezeeni😀😀😀😀😀
 
Juzi wameongea kwenye mkutano wa biashara watanzania wazawa wanaingia wengine watauza umeme tanesco zaidi ya 300 mw
 
museum
Julius-Nyerere-International-Airport-terminal-three-is-67-complete-696x398.png
 
Vipi kuhusu hizo picha zw the most modern and biggest airport hujaziona?, mbona husemi neno lolote?
biggest with 2 million passengers....hahaha.Port Reitz road ya mombasa imekamilika sasa Moi international airport ya Mombasa pia inapanuliwa sawasawa.....
 
dawa ni chungu lakini lazima unywe ndo upone
Where is it written that it is the biggest in east africa? ama itbis the biggst kwa akili zenu tu? Doing some minor refurbishments on your old airport doesn't give it any bragging rights over JKIA. JKIA is, and will always be the biggest airport this part of the world. Lanes please
 
Sasa wasibiri expansion ya dar port imalizike 2020 humu tutakimbiana 😀😀😀😀😀

Hapohapo 2019 tunapokea first phase ya the best and modern electric train in africa alaf 2020 tunapokea second phase to dom

2020 hio hio tunapokea the biggest dam in EA ambayo sasa ujenzi umeshaanza rufiji ambayo utazalisha 2100MW

Mwaka huu mwez wa 7 tunapokea ndege nne kwa mpigo kwa ajili ya Air tanzania

Mwaka huu tunapokea kinyerezi 2 ambayo itazalisha 240MW na huku kinyerezi 3 ujenzi umeshaanza

2020 tunapokea meli ya kwanza bagamoyo port ambayo phase 1 itakua imeshakamilika

2019 tunapokea meli kubwa kabisa bandari ya mtwara amabyo iko under expansion

Etc zingine ongezeeni😀😀😀😀😀
Umesahau fimbo ambayo Uhuru ata kaa aisahau.. EAST AFRICA CRUDE OIL PIPELINE. Hii ili waonyesha Kenya kwamba Mswahili ndiyo bingwa wa fitina. Walijua kua hawajui
 
Back
Top Bottom