Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisingizio ya losers ni sawa na yako................tunakuja charity work in mwanza again .......keep tight.Omba omba wote wa Tanzania bado wakaribishwa katika streets zetu na hustlers wale pia gikombaa wakaribishwa......We are the big brother in East Africa and we don't need petty fights with minions like Tanzania
Chakula kimewashinda mtaweza lisha ombaomba au unajikweza ao ndugu zenu wa kibera ujue
 
kijabe hospital.....110 kms from Nairobi
Kijabe-Hospital-Aerial-View.jpeg
 
Ingekuwa bora kama ungeleta source kuthibitisha madai yako. Until that happens, hizi zitabaki tu story za vijiweni za kutuliza roho
Hiyo ni dalili kwamba umeumea sana kusikia na kuona hizo picha za the most modern and biggest airport in EA, unaweza ukazipata taarifa zote kwenye google, kwa upande wetu the deal is done, tunasubiri the most modern and electeical SGR next year tuwachome msumari mwengine, ikifika siku hiyo pia endelea kupinga kwamba sio electric hadi utakapoletewa data.
 
kisingizio ya losers ni sawa na yako................tunakuja charity work in mwanza again .......keep tight.Omba omba wote wa Tanzania bado wakaribishwa katika streets zetu na hustlers wale pia gikombaa wakaribishwa......We are the big brother in East Africa and we don't need petty fights with minions like Tanzania
Kenya ranked as 'failed state'
Hellow our big bother, when are you going to get out of this group?
 
Hiyo ni dalili kwamba umeumea sana kusikia na kuona hizo picha za the most modern and biggest airport in EA, unaweza ukazipata taarifa zote kwenye google, kwa upande wetu the deal is done, tunasubiri the most modern and electeical SGR next year tuwachome msumari mwengine, ikifika siku hiyo pia endelea kupinga kwamba sio electric hadi utakapoletewa data.
Kweli kenya inawakosesha usingizi, sio siri. Endeleeni kujifariji mitoto ya tandale. After all is said and done, the country in front of you is and will always be kenya.
 
Pwahahaha Kenya is nothing my friend, Asilimia 95 ya Innovation yote inafanywa na makampuni au Wazungu wanaoishi Kenya
Bongo ni Tofauti, Innovation inafanywa na Vyuo vikuu, na vyuo vya Ufundi ikiwemo veta na vingine, Hata ukiangalia viwanda vidogo na vyakati Tz tunavyotumia ni 97% Tanzania made kupitia SIDO, Ungekua unahudhuria International trade fair ya SABA SABA ndio ungejua Tz ni hatari..
Tell me ine thing Tanzania has innovated. Kenya tuko na mpesa, which you use down there in ldc
 
Kweli kenya inawakosesha usingizi, sio siri. Endeleeni kujifariji mitoto ya tandale. After all is said and done, the country in front of you is and will always be kenya.
Hahahahaha, Kenya ipi, hiyo iliyofilisika, watu wanakufa kwa njaa, Nairobi maji ni mgao hayatoshi, unemployment is the highest, crime is at its pick, leo kwa mara ya kwanza tangu uhuru, Lamu ndiyo inapata barabara ya lami 15Km, shule 250 zimefungwa kutokana na serikali kuwalinda raia wake. That is really a failed state
Kenya ranked as 'failed state'
 
Watakuambia uthibitishe kwamba hizo picha ni za Dar. Watu wa ajabu sana!

wah hii town ya hawa wasee.....our second city Mombasa is miles better than Dar......evidence iko scycrapper city daresalaam photoa....some done by chamoto
 
Vipi mbona hutaki kuzungumzia hiyo the most advanced, and biggest airport in EA, au picha hujaziona?
Hatuwezizungumzia coz hayo ni madai ambayo umeshindwa kuthibitisha. kwa sasa JKIA is the biggest in the region
 
Back
Top Bottom