Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


asante kwa kutuletea habari za throwback thursday from 2014.
IMG_20180320_180529.jpg


bado nauliza, mbona siku hizi mmepunguza kuimba kale kawimbo ka ldc?... mmepatwa na masahibu gani?.
 
Kadada aka kadoda11 kuja uambie moderator atoe mpaka hii😀😀😀😀😀😀
mwasiti asante kwa kuni tag kwa ile thread yenyu ya kijinga.

but i'm sorry, sina mda wa kukomenti kwa kwa hako ka-thread uchwara.

there is only one place were kenyans can have an opportunity to argue with the genius kadoda11, and that place is here at this thread.

so incase you you need to engage me, please tag me here. don't waste your time and energy to start a new thread thinking that i will pay any attention at it, no i won't kid.

by the way keep making my ID famous. tag it as many times as you can.
 
Tanzania budget TZS 31trillion(2016/2017), hii ni sawa na $15B. Kenya budget ni Ksh 2.2 trillion, sawa na $20B, tofauti ni $5B pekee. Lakini Tanzania imeweza kulipa $3.1B kujenga SGR, kununua ndege saba, kulipia electric locomotive 50 na mabehewa ya kisasa 1400 kutenga pesa ya kujenga electric dam kubwa kuliko zote EA, kukarabati vinja 11vya ndege ukiwemo uwanja mkubwa na wa kisasa zaidi EA. Kenya kila kitu mnakopa na nchi imefilisika, what is wrong?
Hawa ni wajinga tu ujawah kuona watu wanapokea ata $1000 mshahara na waazidiwa maendeleo na wale wenye $500. ...
 
Hawa ni wajinga tu ujawah kuona watu wanapokea ata $1000 mshahara na waazidiwa maendeleo na wale wenye $500. ...


hapo kwa maendeleo ya kuzaana kama panya ndio naona mlitubwaga......hahaha.Magufuli amesema mzaane kama panya......donge...?
 
Beach estates all over the world zinajulikana kuwa ni estates za wadosi. Hizo picha pengine ni za oysterbay na mbezi beach, the equivalents of Runda, Karen, spring valley, Muthaiga, kileleshwa and the likes huku Nairobi. Hiyo picha niliyoleta sio moja ya hizo mitaa nilizotaja hapo juu. Hiyo kama sijakosea ni kilimani, an upper middle-income estate. Leta picha za middle income estates. Tukianza kuleta picha za karen na muthaiga utakimbia. Kwa estates, Dar haina usemi mbele ya Nairobi
Sometime unahit point...
ziko mitaa kama makongo,sinza,madale,goba ,msasani,kunduchi nk...sasa tofaut uku ni nyumba za watu binafsi hakuna villas nyingi ila mipangilio na nyumba zenyewe ndio zimesimama vilivyo
 
Back
Top Bottom