Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sana hawa watu wanapenda kujiona wao ni [HASHTAG]#ARYAN[/HASHTAG] race ya East Africa kumbe Maskini na makapuku hawana mbele unakumbuka jana Wafanyabiashara walimwambia Rais kenya ilikua mshindani wetu kwenye Tourism sector lakini sasa hivi siyo tena.Hawana lolote hawa.
alaf magu mjanja sana kawaita wafanya biashara kawapa morali sana na kawaambia yuko tayar hata ku hold tax kwa five years kama mtu atafungua viwanda na kuongeza ajira 😀😀😀😀😀😀
 
Lol desperation is real.......tukianza takataka za kariakoo mtatimua mbio......Kwanza the second photo sijui mmetoa wapi
Wewe acha kukataa kwenu as if unaishi Europe lete hizo outdated picha za kariakoo upewe current photo
 
Hapa tupo mji mkuu Dar es Salaam
daressalaam.jpg
Lol......LDC town of Dar
 
Huu pia ni ujinga kusema Kenya ina barabara nyingi za lami kuliko Tanzania

Licha tuu ya ukubwa wa Tanzania, popote pale Tanzania hii unaweza kwenda popote kwa lami

Agencies wa kusimamia barabara Tanzania ni kama

TANROADS
Deals with Highways tuu

TARURA
Deals with wards, streets, villages, constituents roads

TAMISEMI
As ministry has a department dealing with
District, Municipal and Towns Roads

Sasa wote hao wakikupa database zao kuhusu mtandao wa barabara Tanzania 2018 si tutakimbiana humu
Hata serikali yenu "tukufu" inasema 7,600 kilometers of paved roads. Mbona mnapenda sana kukana vitu? sona hii taarifa ya serikali yenu.
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
Jengeni nchi yenu nyie vilaza
 
alaf magu mjanja sana kawaita wafanya biashara kawapa morali sana na kawaambia yuko tayar hata ku hold tax kwa five years kama mtu atafungua viwanda na kuongeza ajira 😀😀😀😀😀😀
Yani hapo nilifurahi kinyamaaa tuombe uhai tuu
 
Back
Top Bottom