Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajisifu estates wanashindwa kuafford wenyewe kujenga pumba kweli hawa
Zile nyumba za kiswahili ndio kujenga hahaha.........wakenya wamejenga kwa wingi sana more than all other east and central African countries combined.that's why we are a beacon of hope sorrounded by LDCs
 
Lol......Karen is in top 5 best estates in Africa.......extends to ngong........and its all tarmacked without any storey building.Any storey building is prohibited
Karen is the only place imetulia sio izo vibanda mnatuonyesha apa mnaita estate..
 
Karen estate.....Lol
tapatalk_1521570941730.jpeg
 
Zile nyumba za kiswahili ndio kujenga hahaha.........wakenya wamejenga kwa wingi sana more than all other east and central African countries combined.that's why we are a beacon of hope sorrounded by LDCs
Sijasema east or central about home
 
Lol.....tumewafunika maradufu....
Izo pesa zitabadili nn kule lodwar garissa na wajir...Au zinanunulia v8 za elites kenyan na miradi ya wiziwizi tu?wabunge waongezewe posho wakati mtaani kibera inaexpand...
ifike mahali mtupe 7bu yaiyo budget. ..
 
sneak preview of Karen....hii inashindana na kina sandton my friend or any place in Europe or north America
13398742_905643772892229_2055730069_n.jpeg
13398594_540650332792855_1994069223_n.jpeg
13584245_286235945062329_552238383_n.jpeg
13561595_616788471832692_395389804_n.jpeg
13557062_1095655610494366_562874349_n.jpeg
13561857_582185745275975_1868163897_n.jpeg
bd7Na7O.jpeg
sHFN0em.jpeg
BbwlELs.jpeg
10985399514_cbe734a0cf_b.jpeg
 
na hata budget yenu ingekuwa 3tn kenya shillings na ile ya kenya iwe 3tn pia, bado mngekuwa chini sana. kumbuka tanzania is almost twice as large as kenya and has a population of10 millionmore than kenya
Problem yenu ni akili, wengi wenu hamna akili kabisa, lengo la bajeti ni figures au kuona mambo yanayofanyika nchini kutokana na bajeti husika?. Hata kama Kenya mngekuwa na bajeti mara kumi zaidi ya Tanzania, lakini bajeti yenu haina maana wala faida kwa nchi na wananchi, ni aibu kwa nchi inayopanga bajeti kubwa lakini inazidiwa tena kwa mbali sana na nchi inayotumia pesa kidogo kufanya mambo makubwa.
 
kusanya haya maneno mengi ya vijiweni mjitoe nayo LDC status..
.
....

maneno ndio mmejaa nayo ila nchi imewashinda kujenga.......Mnaonea tu Kenya wivu hakuna jingine
 
Zile nyumba za kiswahili ndio kujenga hahaha.........wakenya wamejenga kwa wingi sana more than all other east and central African countries combined.that's why we are a beacon of hope sorrounded by LDCs
Who is a failed state within EAC?
 
Expectations with cooked GDP hehehe

Hahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......

laughs in hulks voice
 
kusanya haya maneno mengi ya vijiweni mjitoe nayo LDC status..
.
....

maneno ndio mmejaa nayo ila nchi imewashinda kujenga.......Mnaonea tu Kenya wivu hakuna jingine
Wivu kwasababu mpo kwenye kundi la failed states?, sisi hatuhitaji kuwa huko
 
Hahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......

laughs in hulks voice
230b unafkiri mandazi na vitumbua hzo figure😀😀😀😀😀😀
 
Hahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......

laughs in hulks voice
Ninyi si ni failed state, nchi haijulikaniminaendeshwa na nani, uchumi unaanguka serikali imefilisika madeni hadi bafuni, bado watu wanaimba GDP
Kenya ranked as 'failed state'
 
Hahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......

laughs in hulks voice
Ziandike tu mbona rahisi tunangoja hiyo 2024
 
Back
Top Bottom