tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mbezi beach,bahari beach, mikocheni,kunduchi,msasani,goba,madale,boko,mbweni utaumia bureHahaha......oysterbay na masaki ndio mwisho wa mawazo
😀😀😀 we bana si ukuwe mjanja...hata USA huwa na floods.natural calamities sio lazima utuonyeshe hapa ukicheka. this is london
na hata budget yenu ingekuwa 3tn kenya shillings na ile ya kenya iwe 3tn pia, bado mngekuwa chini sana. kumbuka tanzania is almost twice as large as kenya and has a population of10 millionmore than kenyaTanzania Draft Budget 2017/18: TZS 12 Trillion for Development Expenditure - TanzaniaInvest
Tanzania budget 2017/18, Tsh 31.712 Trilions = $15B
Kenya budget 2017/18, Ksh 2.29 Trillions = $20B
Difference $5B
Huku kwetu ni kitu cha kawaida mkuu, kwa sababu nchi yenu imeendelea nikajua hayo matatizo hayapo😀😀😀 we bana si ukuwe mjanja...hata USA huwa na floods.natural calamities sio lazima utuonyeshe hapa ukicheka. this is london
![]()
halafu huko kwenu
acheni kujifanya ni kama ni kitu geni na watu wanakufa
View attachment 720621
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 720609
View attachment 720610
vipi jizee la 60s😀😀😀maumivu ya mgongo yakoje?😀😀😀salimia majobless wenzio hapo nairobi.![]()
Subiri ziwe complete utafahamHaya ni mabweni? Na bei ya saruji hebu confirm kama kweli imefika 19000 pesa za madafu.
Pop yenu ya sasa ni watu ngap est?na hata budget yenu ingekuwa 3tn kenya shillings na ile ya kenya iwe 3tn pia, bado mngekuwa chini sana. kumbuka tanzania is almost twice as large as kenya and has a population of10 millionmore than kenya
close to 45 millionPop yenu ya sasa ni watu ngap est?
Hata hapo yenywe aifikii mikocheniView attachment 720590
mtaa wa kushtua apo Nai ni ule mnauita Karen. ..Iyo inaenda sawa nanmikocheni tu
Reliable source ni ww binafsi Auclose to 45 million
Imf imetabiri 2022 mtakua na GDP$ 112 bln jaribu ku imagine jamaaalivyo over ambitious and hata iyo 112 mkicheza msiipate
jizee la 60s nipo sawa sawia...sisumbiliwi na mgongo wala maradhi ya aina yoyote.vipi jizee la 60s😀😀😀maumivu ya mgongo yakoje?😀😀😀

sisi tutakuwa bado tupo hapahapa kwasababu jua linazunguka kenya tu.

hiyo ndio successful LDC country....Lol😀😀😀 we bana si ukuwe mjanja...hata USA huwa na floods.natural calamities sio lazima utuonyeshe hapa ukicheka. this is london
![]()
halafu huko kwenu
acheni kujifanya ni kama ni kitu geni na watu wanakufa
View attachment 720621
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 720609
View attachment 720610
Lol.....tumewafunika maradufu....tanzanian budget is usd13,953,280,000 kenyan usd 25,688,000,000(ksh2.6 tn) the difference is more than 10bn dollars