Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
Nairobi cbd haina majengo mengi hivi hata wao wanalijua hiloFeel The Dense
![]()
Nairobi cbd haina majengo mengi hivi hata wao wanalijua hiloFeel The Dense
![]()
Panda Daladala mpaka Morocco then chukua Mwendokasi mpaka Gerezani-Kariakoohv zile ofisi za ilala kwa wandakarasi njia rahis ya kufika ni wapi ukitokea tegeta
Sipati picha lile daraja la SGR likikamilika hapo patanogaje....Dar Es Salaam
![]()
haiana noma asante kwa maelekezoPanda Daladala mpaka Morocco then chukua Mwendokasi mpaka Gerezani-Kariakoo
Ukifika Gerezani fanya kama unarudi nyuma ulikotoka kuna mtaa unaitwa Lindi Street upande wako wa kushoto kutokea kituoni whereas there are shops for spare parts za magari na vipuli, also utaipita shule ya Al-Haramain
Nyoosha hiyo street moja kwa moja utakutan na kijunction kidogo ambapo ni junction ya Lindi/Shaurimoyo Street
Utakunja kushoto kuifuata hio barabara then utakutana na reli ukivuka tuu hiyo reli utaona ofisi zao
Utaona pia shughuli za ujenzi (wa SGR) zikiendelea
Tutazidi chapa nyang'au mpaka ione uchungu.Sipati picha lile daraja la SGR likikamilika hapo patanogaje....
Maana ndo breath mouth ya hilo daraja hapo...
lol.....illusionist pedestrian reasoningThere is no country in East and Central Africa that has more paved roads than Tanzania.
Unless you are too of a dufus to comprehend, if Tanzania is as twice the size of Kenya, having paved roads stretches as far as Kigoma, you'll bet that it has more km of paved roads than Kenya.
source ni joto la jiwe.. .........hahaha .kwa reality Kenya has you beaten in everything mkatae mkubaliTanzania has many and longer paved roads, better public hospitals, more people have safe and clean water, food security, better chance of getting employment, free primary to secondary education, better security than Kenyans, these are important basic needs that Kenyans admire to be like Tanzanians
Lol hizo ni mitaa za eastlands ..Nairobi cbd haina majengo mengi hivi hata wao wanalijua hilo
Hakuna cha East wala North west Nairobi hakuna magorofa mengi kiasi hiki tusidanganyane BudaLol hizo ni mitaa za eastlands ..
.......
Kariakoo pekee inamajengo mengi kuliko Nairobi
Halafu mtu anakuja anakuambia Kariakoo inakaa kama ushuzi flani...
Tukienda jengo mojamoja kisumu haiingii kwa dodoma, unabisha???It's a small town however much you try to advertise it.