Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

source ni joto la jiwe.. .........hahaha .kwa reality Kenya has you beaten in everything mkatae mkubali
Apart from Uthamaki, corruption, tribalism, hunger, police killings and insecurity, what else you can offer to the EAC?, don't mention marathon runners and Lupita Nyong'o please
 
ama umoja Estate Lol
14805094921_dca5f4d18b_b.jpeg
 
uko sahihi kwasababu dar to bukoba 1400 km paved road, dar to mwanza 1200km paved, dar to kigoma over 1400 km, dar to sumbawanga over 1500 km paved, dar to mtwara 600 km paved, dar to mbeya 850 km paved, dar to musoma over 1600km paved, dar to tanga/ horohoro 400km paved, dar to arusha/namanga 750km, mwanza to tabora 350 km paved, singida to arusha 340km paved, dar to iringa 510 km paved, dodoma to iringa 270km paved, tabora to kigoma 420km paved, mwanza to kigoma 600km paved etc
Dar to bukoba including mwanza ni 1400km.
acha story sijui 1400 then 1200
 
Sipati picha lile daraja la SGR likikamilika hapo patanogaje....

Maana ndo breath mouth ya hilo daraja hapo...
We acha tu mkuu.. sasa piga picha na modern electric train inapita ambayo haina makelele kama za wale wengine. What a scenery it will be
 
Acha ujinga wewe, lete source toka katika wizara yenu ya fedha, acha kuokoteza taarifa, hata budget ya mwaka huu bado Kenya haitegemea kufikia 2.6 trilion, the highest it can go is 2.4trillion
kwanza hio 2.4 wanatoa wapi na nchi haina pesa😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom