Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uliza ueleweshe

Road Fund kama Road Fund wao wana finance baadhi ya barabara zilizo chini ya TANROADS ambazo ni Highways
Living in denial is your greatest undoing as Tanzania and I think this is the reason why you are still an ldc todate. Badala ya kukubali hali yenu na kwamba mko na matatizo na kuyashugulikia, nyinyi mnakataa uwepo wa hayo matatizo.You can deny a million times but facts zitabaki palepale
 
Hakuna mtu wa upuzi kama fala mang'aa juu huwezi msikizia chochote.
 
Hapa tuusan na @Mulisaa wameleta mara kibaaaaooo mbon mnapenda kujirudia rudia ? Bongo Hamna mahala pengine pazuri ispokuwa hapa?
Because it is the only thing Dar has in terms of estates. Which other one do you expect them to show apart from this? Ask them to post their residential estates and 90% of them will bring these two photos. Dar gat nothing on nairobbery
 
Hata serikali yenu "tukufu" inasema 7,600 kilometers of paved roads. Mbona mnapenda sana kukana vitu? sona hii taarifa ya serikali yenu.
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
Jengeni nchi yenu nyie vilaza

Wamesema hivi;
The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.

Haimaanishi jumla ya barabara zote bali zile walizozi-finance, naona kiingereza kinakupiga chenga.
 
Wamesema hivi;

Haimaanishi jumla ya barabara zote bali zile walizozi-finance, naona kiingereza kinakupiga chenga.
Kwani ni wapi barabara zinajengwa bila financing? Utopia? Naona akili yako inakupiga chenga
 
C9EF2791-98D4-4D5D-8B7E-70D2E4C8B1D9.jpeg
 
Kwani ni wapi barabara zinajengwa bila financing? Utopia? Naona akili yako inakupiga chenga

Kuna barabara ambazo zilijengwa zamani na hazikuhitaji ukarabati kwa miaka 20, Kwa mfano Port axis (Mandela) na Pugu road (Nyerere) zilizojengwa mwanzoni mwa 80's na kampuni ya Mowlem ya Uingereza.

Sasa serikali haiwezi kujumuisha barabara ambazo hazihitaji ukarabati kwenye orodha ya matengenezo ndiyo maana jumla ya barabara zote zilizo Tanzania ni kubwa kuliko hizo za "roadsfund".
 
Wamesema hivi;

Haimaanishi jumla ya barabara zote bali zile walizozi-finance, naona kiingereza kinakupiga chenga.

tukiweka za Kenya zote then we might clock 29000.....wengine bado wanachezea seven huko ati tanganyika ya 2017 lol......bado ldc tu..
...
 
Siku zote wanaokaa kwenye kota wanaona fahari uku wenye akili wakila pesa za umma poleni wakenya
 
Back
Top Bottom