Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ujenzi wa the modern electric train in africa ukiendelea kwa kasi zaidi
IMG-20170714-WA0033.jpg
IMG_20170824_111043_1-848x480.jpg
342c41df58b2f331713b31da597118ce.jpg
09d5a813b774440a5c8f3db6a98765e0.jpg
naona becco wamekula shavu refu hapo
 
victoria Beckham is in kenya and she is taking a tour at slum areas of nairobi.

but as far as i know kenyans will not show you these photos because they are not painting kenya well.

kenyans would rather show you other photos of Victoria Beckham when
she is in masai mara but not kibera or mathare.

1399b4958007183a5e96956e9c96d910.jpg
f9ddd4c7c65362b86b68cc5214b1eeff.jpg
7442a0c5ac62e6de56c5ad983bb35f8d.jpg
497bcc505bebd5eae3913c415396e095.jpg
 
victoria Beckham is in kenya and she is taking a tour at slum areas of nairobi.

but as far as i know kenyans will not show you these photos because they are not painting kenya well.

kenyans would rather show you other photos of Victoria Beckham when
she is in masai mara but not kibera or mathare.

View attachment 719499View attachment 719500View attachment 719501View attachment 719502
huyo akirud hotelini kila kitu alichokivaa hapo kuanzia buti mpaka nguo vinachomwa moto anakunywa madawa ya kutosha kujikinga na bacteria afu ndo story zinaendelea
 


Viunganishi

Ruka hadi maelezoAccessibility Help

Uongozaji

Menyu

Tafuta

Swahili

BBC

Yaliyomo

Kwa nini Kenya inapoteza watalii kwa Tanzania

20 Februari 2018

Sambaza habari hii Facebook

Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako

HakiAFPImageMbona Kenya imekuwa ikipoteza watalii kwa Tanzania?

Kenya imekiri kuwa imekuwa ikipoteza watalii kwenda Tanzania miaka ya hivi karibuni.

Akizungumza kwenye kituo cha runinga ya Citizen nchini Kenya, waziri wa utalii nchini Kenya, Najib Balala, aliezea wasi wasi kuhusu hali ya mahoteli nchini Kenya, akisema kuwa ukosefu wa hoteli za viwango vya kimataifa nchini Kenya imechangia Tanzania kuwa chaguo la watalii kanda hii ya Afrika Mashariki.

"Sababu ambayo ilichangia Tanzania kufanya vyema kutuliko mwaka 2017 ni kwa sababu hoteli zao ni mpya na za kisasa wakati hoteli zetu zikiwa ni za miaka 40 iliyopita," alisema Balala.

Balala alisema kuwa licha ya idadi ya watalii wanaowasili Kenya kuongezeka kutoka 1,342,899 mwaka 2016 hadi 1,474,671 mwaka 2017, Kenya ina uwezo wa kuwavutia watalii zaidi ikiwa hoteli na huduma kwa wateja zitaboreshwa.

"Changamoto kubwa tuliyo nayo sasa ni usalama. Mpaka wetu na Somalia pia unaleta wasiwasi na hofu kwa wageni wetu," alisema Balala.

Taifa la Tanzania latajwa kuwa eneo bora la Safari AfrikaMkalimani ‘feki’ aomba radhi TanzaniaWatalii kutoka China watembelea Mogadishu

Balala alisema kuwa Kenya inalenga kuwavutia watalii milioni 2.5 kila mwaka ifikapo mwaka 2022, akiongeza kuwa serikali imefanya mazungumzo na wamiliki wa hoteli kuhusu viwango ambavyo hoteli zinastahili kuwa navyo.

Idadi ya watalii wa kigeni wanaozuru Tanzania imekuwa ikipanda tangu ivuke watalii milioni moja kwa mwaka kwa mara ya kwanza mwaka 2012.

Kulingana na wizara ya utalii, watalii 1,137,182 waliingia nchini Tanzania mwaka 2015 na idadi hiyo ikapanda hadi watalii 1,284,279 mwaka 2016.

Utalii uliiletea Tanzania dola bilioni 2.3 mwaka uliopita kutoka dola bilioni 2 mwaka 2016. Mapato ya mwaka 2015 yalikuwa ni dola bilioni 1.9.

Mada zinazohusiana

KenyaTanzania

Mshirikishe mwenzakoUnavyoweza kumshirikisha mwenzako

EmailFacebookMessengerTwitterWhatsApp

Rejea mwanzo wa ukurasa

Gumzo mitandaoni



Watoto wa Nigeria waliomvutia Rihanna



Pakistan wachukizwa na kipindi cha urembo wa rangi nyeusi



Chemsha bongo:Serikali ya Tanzania iliidhinisha na kutangaza dawa ngapi za asili nchini humo kuwa salama kutumiwa na binadamu?



Mhudumu aanguka kutoka kwenye ndege Uganda



Mwalimu aliyefundisha kompyuta ubaoni aalikwa na Microsoft



Wapenzi wa jinsia moja wataka kutambuliwa Ghana



Je unafikiri unamfahamu Mt. Maria Magdalena?



Vijana walio tajiri zaidi duniani



Mtandao unaowasaidia wasichana kulinganisha uke wao

Habari zilizosomwa zaidi

1Mafuta 'yanayowafanya wanaume kumea maziwa'2Mtoto wa miaka 9 amuua nduguye kwa kumpiga risasi Marekani3Utafiti: Upungufu wa mbegu za kiume unahatarisha maisha4Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.03.20185Cristiano Ronaldo afunga hat-trick yake ya 50

BBC

Yaliyomo

Uongozaji BBC

SportWeatherRadio

Masharti ya matumiziKuhusu BBCSera ya FaraghaCookiesAccessibility HelpParental GuidanceWasiliana na BBCGet Personalised NewslettersCopyright 2018 BBC. BBC Haiwajibiki kwa taarifa kutoka tovuti zisizo zake. Muongozo wetu kuhusu na juu ya wavuti za nje
 
huyo akirud hotelini kila kitu alichokivaa hapo kuanzia buti mpaka nguo vinachomwa moto anakunywa madawa ya kutosha kujikinga na bacteria afu ndo story zinaendelea

wakenya na kiherehere chao hawawezi kukuonyesha hizo picha. hizo kapost Victoria mwenyewe kwenye page yake ya instagram.

wao watakuonyesha zile tu ambazo ametembelea masai mara na maeneo mengine mazuri ya kenya.
 

wakenya na kiherehere chao hawawezi kukuonyesha hizo picha. hizo kapost Victoria mwenyewe kwenye page yake ya instagram.

wao watakuonyesha zile tu ambazo ametembelea masai mara na maeneo mengine mazuri ya kenya.
Wanaaanzia wapi kwani wao wajinga
 
Big data made easy. Numbers dont lie

Kenya
Roadways total: 161,452 km
paved: 14,420 km (8,500 km highways, 1,872 urban roads, and 4,048 rural roads)
unpaved: 147,032 km (2017)

Tanzania
total: 86,472 km
paved: 7,092 km
unpaved: 79,380 km (2017)

National air transport system
Kenya
Number of registered air carriers: 16
Inventory of registered aircraft operated by air carriers: 106
Annual passenger traffic on registered air carriers: 4,874,590
Annual freight traffic on registered air carriers: 286,414,683 mt-km

Tanzania
Number of registered air carriers: 5
Inventory of registered aircraft operated by air carriers: 17
Annual passenger traffic on registered air carriers: 1,239,707
Annual freight traffic on registered air carriers: 2,337,440 mt-km

Population growth rate

Kenya: 1.69% Tanzania: 2.75%

Rural Sanitation Facility access improved:
Kenya
29.7% of population

Tanzania
8.3% of population

Net migration rate
Kenya
-0.2 migrant(s)/1,000

Tanzania
-0.5 migrant(s)/1,000

Hawa watanzania wanaenda wapi? Tanzanians are leaving Tanzania more than Kenyans are leaving Kenya. Most likely mnakuja Kenya

Children under the age of 5 years underweight
Kenya: 11% (2014)

Tanzania: 13.7% (2015)

Na bado mnaimba wakenya njaa na biryani 😡

Physicians/Doctors density
Kenya
0.2 physicians/1,000 population
Tanzania
0.03 physicians/1,000 population

Hospital Beds
Kenya
1.4 beds/1,000 population
Tanzania
0.7 beds/1,000 population

Dependency ratios
Kenya
total dependency ratio: 78.3
youth dependency ratio: 73.7
elderly dependency ratio: 4.6

Tanzania
total dependency ratio: 93.4
youth dependency ratio: 87.4
elderly dependency ratio: 6

Budget
Kenya
revenues: $15.37 billion
expenditures: $20.18 billion (2017 est.)

Tanzania
revenues: $7.872 billion
expenditures: $9.271 billion (2017 est.)

Foreign Reserves
Kenya $7.592 billion
Tanzania $4.174 billion

Stock of domestic credit (yaani total value of local currency in banks, which then circulates the economy)

Kenya: $36.59 billion (31 December 2017 est.)
Tanzania: $9.77 billion (31 December 2017 est.)

Stock of narrow money (money held by central bank)
Kenya: $13.03 billion (31 December 2017 est.)
Tanzania: $4.869 billion (31 December 2017 est.)

Stock of broad money (most comprehensive measure of money supply)
Kenya: $29.29 billion (31 December 2017 est.)
Tanzania: $8.291 billion (31 December 2017 est.)

Electricity production
Kenya: 9.548 billion kWh
Tanzania: 6.025 billion kWh

Electricity consumption
Kenya: 7.666 billion kWh
Tanzania: 4.976 billion kWh

Electricity exports
Kenya: 45 million kWh (To UG and TZ)
Tanzania: 0 kWh (To no one)

Internet users
Kenya
total: 12,165,597
percent of population: 26.0%

Tanzania
total: 6,822,754
percent of population: 13.0%

Broadcast media
Kenya
About a half-dozen large-scale privately owned media companies with TV and radio stations, as well as a state-owned TV broadcaster, provide service nationwide; satellite and cable TV subscription services available; state-owned radio broadcaster operates 2 national radio channels and provides regional and local radio services in multiple languages; many private radio stations broadcast on a national level along with over 100 private and non-profit provincial stations broadcasting in local languages; transmissions of several international broadcasters available.

Tanzania
A state-owned TV station and multiple privately owned TV stations; state-owned national radio station supplemented by more than 40 privately owned radio stations; transmissions of several international broadcasters are available.
Nawanauliza wako LDC kivipi
 
Kwa macho yako unaona hayo majengo ni modern?
Where are Glass houses?
Wewe kwa akili yako unaona glass buildings is the epitome of modernity? Kijana wa tandale, glass buildings are meant for the temperate regions ( North America and Europe) not the tropics like here in Africa. so usione kwamba kuwa na jumba refu ya glass ni majivuno bila kujua athaei zake. Such buildings are not environmentally-friendly and they are not sustainable in the tropical regions like Africa. Usiwe mtumwa wa mzungu na kuiga kila wanachofanya bila kuwa na uelewa wa mambo. soma hii taarifa
Green is the way to go for buildings in Kenya
 
Kwa macho yako unaona hayo majengo ni modern?
Where are Glass houses?
Wewe kwa akili yako unaona glass buildings is the epitome of modernity? Kijana wa tandale, glass buildings are meant for the temperate regions ( North America and Europe) not the tropics like here in Africa. so usione kwamba kuwa na jumba refu ya glass ni majivuno bila kujua athaei zake. Such buildings are not environmentally-friendly and they are not sustainable in the tropical regions like Africa. Usiwe mtumwa wa mzungu na kuiga kila wanachofanya bila kuwa na uelewa wa mambo. soma hii taarifa
Green is the way to go for buildings in Kenya
 
tanzania born and east africa's number one billionaire said salim bakhresa is making headlines in Zimbabwe.

IMG_20180319_183350.jpg
IMG_20180319_183328.jpg


NB:
kenyans are there any individual businessman who has invested millions of dollars in a business outside kenya?.how many dollars has he/she invested.
mention one please.

povu ruksa ila sitaki kuniletea emotions.
 
that is his opinion, what makes you think everyone shares the same opinion??
in the first place kenyan music has a totally different way as compared to your bongo music so aint on the same leauge.
sikutegemea kama ungeandika kwa kinyonge namna hiyo. haya asante kwa maoni yako.
 
Back
Top Bottom