Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kitu dar tanga
raticooo.jpg
1609712_350555118437155_4509081404615725158_n-jpg.198843
IMG-20140710-WA0000.jpg
IMG-20140710-WA0002.jpg
10340130_350558231770177_1479968789480427868_n-jpg.198846
what is yutong😀😀😀😀😛 watanzania sijui mtachoka lini na vitu vya kichina...hata hizo BRT wanatumia bus model gani? golden dragon ama grand tiger😀😀😀😀
 
baada ya wakenya kupokea kipigo kitakatifu sasa wamehamisha magoli kwenye thread mpya watanzania wote msicomment thread ya msa vs dar hapa pamewashinda sasa wamekimbia kule hio group imeanzishwa na kilaza mmoja anajiita mwasiti au kwa jina linginen mwaswast
Hahahaha ukweli mchungu hadi ikabidi uwaite your fellow losers wakupige jeki....Hahahaha.
 
wewe maoni unakuwanga nayo ama ni ku post kila mara vile watu wanfikiria
what is yutong😀😀😀😀😛 watanzania sijui mtachoka lini na vitu vya kichina...hata hizo BRT wanatumia bus model gani? golden dragon ama grand tiger😀😀😀😀
this is a pride of kenyan culture made by the kenyan youth.
what is your pride???😀😀😀😀
mugger
hizi ma emotions zote umekuja nazo si upeleke labor room ili uzae mtoto kwa usalama.
 
High Def Lazima utapata pressure safari hii kwa kukusanya data zenye kukupa matumaini, muhimu ujue kwamba, Tanzania is far ahead of Kenya on basic human requirements kama, maji, barabara, chakula, public hospitals, security, employment, land policy, shelter and others, ninyi mnatuzidi kwenye vitu ambavyo sio muhimu kama malls, private cars, flyovers, and marathon runners
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankings

Nyinyi ndio munahitaji matumaini. Mko nyuma kila kitu
 
nilimwambia moderator afute ule ujinga ulianzisha kule.

thanks to Moderator he did exactly like i requested him to. your thread is completely deleted. it's no longer there.
povu ruksa. moderator hoyeeee
Thread za wakenya mnalia kama wajinga zitolewe ilhali zenu fake fake hatulalamiki.
Ni lini mtagrow up kama wazee wazima?
 
Back
Top Bottom