Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thread yako imekufa😀😀😀😀
Yap nimeona! Nafikiri kuna Watu walingiwa na uwoga wakafikiria kutupilia mbali shida zao ni kuzikwepa. Mombasa iliwatishia Wana Dar hadi ikabidi wamefanya juu chini kuondoa uzi wa kudhalilisha Dar...hahahaha.

Huu mchezo hauhitaji hasira ichoboy01
 
nilimwambia moderator afute ule ujinga ulianzisha kule.

thanks to Moderator he did exactly like i requested him to. your thread is completely deleted. it's no longer there.
povu ruksa. moderator hoyeeee
Nilijua tu ni wewe Kadada wewe ndiwe mwenye umama kiasi hicho...lakini jua mwanadada mwenzako mwasiti aka mwaswast ataanzisha another thread.
 
Big data made easy

Kenya
Roadways total: 161,452 km
paved: 14,420 km (8,500 km highways, 1,872 urban roads, and 4,048 rural roads)
unpaved: 147,032 km (2017)

Tanzania
total: 86,472 km
paved: 7,092 km
unpaved: 79,380 km (2017)

National air transport system
Kenya
Number of registered air carriers: 16
Inventory of registered aircraft operated by air carriers: 106
Annual passenger traffic on registered air carriers: 4,874,590
Annual freight traffic on registered air carriers: 286,414,683 mt-km

Tanzania
Number of registered air carriers: 5
Inventory of registered aircraft operated by air carriers: 17
Annual passenger traffic on registered air carriers: 1,239,707
Annual freight traffic on registered air carriers: 2,337,440 mt-km

Population growth rate

Kenya: 1.69% Tanzania: 2.75%

Rural Sanitation Facility access improved:
Kenya
29.7% of population

Tanzania
8.3% of population

Net migration rate
Kenya
-0.2 migrant(s)/1,000

Tanzania
-0.5 migrant(s)/1,000

Hawa watanzania wanaenda wapi? Tanzanians are leaving Tanzania more than Kenyans are leaving Kenya. Most likely mnakuja Kenya

Children under the age of 5 years underweight
Kenya: 11% (2014)

Tanzania: 13.7% (2015)

Na bado mnaimba wakenya njaa na biryani 😡

Physicians/Doctors density
Kenya
0.2 physicians/1,000 population
Tanzania
0.03 physicians/1,000 population

Hospital Beds
Kenya
1.4 beds/1,000 population
Tanzania
0.7 beds/1,000 population

Dependency ratios
Kenya
total dependency ratio: 78.3
youth dependency ratio: 73.7
elderly dependency ratio: 4.6

Tanzania
total dependency ratio: 93.4
youth dependency ratio: 87.4
elderly dependency ratio: 6

Budget
Kenya
revenues: $15.37 billion
expenditures: $20.18 billion (2017 est.)

Tanzania
revenues: $7.872 billion
expenditures: $9.271 billion (2017 est.)

Foreign Reserves
Kenya $7.592 billion
Tanzania $4.174 billion

Stock of domestic credit (yaani total value of local currency in banks, which then circulates the economy)

Kenya: $36.59 billion (31 December 2017 est.)
Tanzania: $9.77 billion (31 December 2017 est.)

Stock of narrow money (money held by central bank)
Kenya: $13.03 billion (31 December 2017 est.)
Tanzania: $4.869 billion (31 December 2017 est.)

Stock of broad money (most comprehensive measure of money supply)
Kenya: $29.29 billion (31 December 2017 est.)
Tanzania: $8.291 billion (31 December 2017 est.)

Electricity production
Kenya: 9.548 billion kWh
Tanzania: 6.025 billion kWh

Electricity consumption
Kenya: 7.666 billion kWh
Tanzania: 4.976 billion kWh

Electricity exports
Kenya: 45 million kWh (To UG and TZ)
Tanzania: 0 kWh (To no one)

Internet users
Kenya
total: 12,165,597
percent of population: 26.0%

Tanzania
total: 6,822,754
percent of population: 13.0%

Broadcast media
Kenya
About a half-dozen large-scale privately owned media companies with TV and radio stations, as well as a state-owned TV broadcaster, provide service nationwide; satellite and cable TV subscription services available; state-owned radio broadcaster operates 2 national radio channels and provides regional and local radio services in multiple languages; many private radio stations broadcast on a national level along with over 100 private and non-profit provincial stations broadcasting in local languages; transmissions of several international broadcasters available.

Tanzania
A state-owned TV station and multiple privately owned TV stations; state-owned national radio station supplemented by more than 40 privately owned radio stations; transmissions of several international broadcasters are available.
 
Yap nimeona! Nafikiri kuna Watu walingiwa na uwoga wakafikiria kutupilia mbali shida zao ni kuzikwepa. Mombasa iliwatishia Wana Dar hadi ikabidi wamefanya juu chini kuondoa uzi wa kudhalilisha Dar...hahahaha.

Huu mchezo hauhitaji hasira ichoboy01
Baada ya kuona mumekula kipigo humumukakimbia kule hahah😀😀😀
Hii thread tunataka iwepo mpaka 2020 ili tuwaoneshe maendeleo ya tanzania na hatutawaacha hvi hvi mpka kieleweke😛😛

Usiwe muoga kmaa manzi bikra😛😛
 
Thread za wakenya mnalia kama wajinga zitolewe ilhali zenu fake fake hatulalamiki.
Ni lini mtagrow up kama wazee wazima?

nilimwambia moderator aifute cos her thread(mwasiti's) was a duplicate of another thread which was created by one imbecile who calls himself kolo mwizi.

City Battle: Mombasa vs Dar es Salaam

jf does not allow creating two threads that read the same. you need to be creative when starting a new new thread. make sure your thread is unique and meaningful.
 
Hahha na mbona huwa hamshiriki kwa mashindano ya BMX...HHAHAHA FAKE TALENT
wewe endelea tu kupiga porojo hapo kibera...vijana wetu wanazidi kupasua anga.viva tanzania
IMG_20180319_195518.jpg
IMG_20180319_195411.jpg
IMG_20180319_195341.jpg
IMG_20180319_195321.jpg
IMG_20180319_195304.jpg
 
Baada ya kuona mumekula kipigo humumukakimbia kule hahah😀😀😀
Hii thread tunataka iwepo mpaka 2020 ili tuwaoneshe maendeleo ya tanzania na hatutawaacha hvi hvi mpka kieleweke😛😛

Usiwe muoga kmaa manzi bikra😛😛
Mulikimbia Superhighways za Mombasa mlipokumbuka Dar hamna suchlike infrastructure... yani mji wa pili Kenya unaitwanga mji mkuu wa Dar es sluum...Hahahaha... this made my day.
 
victoria Beckham is in kenya and she is taking a tour at slum areas of nairobi.

but as far as i know kenyans will not show you these photos because they are not painting kenya well.

kenyans would rather show you other photos of Victoria Beckham when
she is in masai mara but not kibera or mathare.

View attachment 719499View attachment 719500View attachment 719501View attachment 719502
Hajakanyaga nnya kweli maana kibera hawana Toilet wao sewage system is Toilet
 
Mulikimbia Superhighways za Mombasa mlipokumbuka Dar hamna suchlike infrastructure... yani mji wa pili Kenya unaitwanga mji mkuu wa Dar es sluum...Hahahaha... this made my day.
Sisi tuliwaruhusu wekeni miji yenu yote ya kenya mnayohisi inaweza kushindana na dar es salaam hapa katika uzi huu,wewe unaenda kuanzisha uzi mwingine huko.

Mombasa pekee bado sana kwa dar,labda tukiikatia kipande.
 
Hajakanyaga nnya kweli maana kibera hawana Toilet wao sewage system is Toilet
Demu snitch sana huyu,hao ni ndugu zake kabisa na wanatumia lugha moja. afu anawarusha kwa picha za hovyo namna hiyo.

Wakenya ni waingereza kabisa sema tu watu hawajui
 
Back
Top Bottom