Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Punde tutakapowatoa katika ufukara wenu.
Alaf sio mkenya ni settler kutoka britain au unabisha hahahah ameinvest tanzania nashkuru sana kwa kuleta pesa tanzania
Huku sheria ardhi tofaut amekododishiwa na serekali tu
Alaf sio mkenya ni settler kutoka britain au unabisha hahahah ameinvest tanzania nashkuru sana kwa kuleta pesa tanzania
Huku sheria ardhi tofaut amekododishiwa na serekali tu
Nitaifungua ukileta Picha za ujenzi wa SGR usiku na mchana mwaka wa 2018 mwezi March tarehe 18. Go in peace bro...Hahahaha.Why Kenya could be among failed states
vipi ulifungua hiyo link?
Hii habari ni ya 2016 nyakati za nyimbo na mihemko kuwa SGR Tz na Pipeline zitakuwa zimekamilika by 2018...well, hebu tupe updates kadada.
Naona SGR na Pipeline vinakunyima raha joblessHii habari ni ya 2016 nyakati za nyimbo na mihemko kuwa SGR Tz na Pipeline zitakuwa zimekamilika by 2018...well, hebu tupe updates kadada.
Ulisikia wapi watanzania wanaenda US?, ninyi mnaopenda kuolewa na wazungu ndio mnaokwenda huko, sisi tunabaki ndani ya nchi yenye maziwa na asali.Hizo billion 3 si ni zile mnachangisha kwa street zetu.
We ukikimbia hapo kwa mfuga mbwa kwenda marekani ,ni nini huenda Ku invest huko ? kama si kuombaomba?
the same way mnakuja Kenya ,and the interesting part of it ni kwamba mnatumwa na ********.
Hehehe wangekuw watanzania mbona mushawarudisha kitambo pambaneni na hali zenu wenyewe😀😀😀😀Sasa tukupe uraia na hauna any value ?,baki tu kwa streets tutakupeaga tu coins tukipita.
Kwan kenya mulijenga kwa miaka mingap??Nitaifungua ukileta Picha za ujenzi wa SGR usiku na mchana mwaka wa 2018 mwezi March tarehe 18. Go in peace bro...Hahahaha.
***** fungua hio link usome vzr siumeona mwenzio kakaa kimya😀😀😀😀Haka kamtu kweli ni kajinga,we hujasoma yale majina?anaitwa langati ,huyo ni kalenjini.
Haya basi tupe Progress ya Bagamoyo tangu 2011.Kwan kenya mulijenga kwa miaka mingap??
Mulijenga miaka mitatu na nusu na tanzania haijamaliza hata mwaka munaanza kulia haha
😀😀😀😀😀
Acha utani.
Hii picha ilipigwa zaidi ya 13km kutoka mjini miaka 4 iliyopita
Bagamoyo port ujenI umeanza mwaka jana na sababu ya kuarishwa ilikua mpaka dar port and mtwara port expansio zianze na Zote Zishaanza na tegeme 2020 utaona maajabu hujawah kuyaonaHaya basi tupe Progress ya Bagamoyo tangu 2011.
Huyu jamaa kiboko aisee😀😀😀