Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

producer wa African beauty ni mkenya..all money spent in kenya
hakika kolo wewe ni kilaza wa level ya mount kenya. sio kwa ukilaza huo aise.
you make me think there is something wrong with your education background.

umesema producer wa ngoma ya african beauty ya diamond platnumz ft omarion ni mkenya?.

mimi nakwambia producer wa african beauty sio mkenya.
no research no right to speak.
here is the producer of african beauty and he is not a kenyan.
IMG_20180319_122038.jpg
IMG_20180319_121904.jpg
 
Hio jumba la kifakhari kalifanya kua ofisi za tv station and radio station 😀😀😀😀
Hajui kuwa kuna wasafi tv na redio TZ. Hawajamaa wanavyo muongelea Diamond unaweza zani ni Mkenya. Kwenye entertainment watulie. Africa ni TZ na Nigeria. Big Brother tumeacha record.
Hapo ndipo utajua kingereza hakijawahi msaidia Mkenya.
 
Hajui kuwa kuna wasafi tv na redio TZ. Hawajamaa wanavyo muongelea Diamond unaweza zani ni Mtanzania. Kwenye entertainment watulie. Africa ni TZ na Nigeria. Big Brother tumeacha record.
Hapo ndipo utajua kingereza hakijawahi msaidia Mkenya.

Big brother wanapeleka watu wanasura ngumu nani awape kura.😀😀
 
Back
Top Bottom