Kma wameletwa mbona hamuwarudishi yan wangekua watanzania hao mgekua mushawarudiaha kitambo sana ila mulitaka kuochafua tanzania hahahaSasa si mnawatoaga mjini ili m'walete huku Kenya ambako kuna pesa mpewe msaada ndio mjenge nchi yenu.
Hii reli inayojengwa kwa phase zote mbili tanzania inajenga kwa pesa yake tena the modern electric train in africa 3.16b usd kwa 722km dar to dodoma sasa ww unalia nn???
Hii reli inayojengwa kwa phase zote mbili tanzania inajenga kwa pesa yake tena the modern electric train in africa 3.16b usd kwa 722km dar to dodoma sasa ww unalia nn???
By the way,naskia nairobi inataka kutengeneza kinu cha kufua umeme,maana maji yanapatikana vizuti CBD pale mpaka mnafloat.Tembeza kiatu nani,huna cha kunifanyia na huo ujinga wako.
Kma wameletwa mbona hamuwarudishi yan wangekua watanzania hao mgekua mushawarudiaha kitambo sana ila mulitaka kuochafua tanzania hahaha
Mbona mnawasahau wale wa turkana?Sasa si mnawatoaga mjini ili m'walete huku Kenya ambako kuna pesa mpewe msaada ndio mjenge nchi yenu.
Kama tunatumia generator kusurvive basi sisi tuna maisha mazuri sana afrika.unajua litre moja ya petrol au diesel ni shingapi,na unatakiwa uweke mafuta kiasi gani ili generator izalishe umeme wa kukutosha???while unatunadi ni LDC.White elephant at its best.mnajenga reli ya stima na ninyi wenyewe mnatumia generators? viwanda vitajengwa vitumie nini kama 1500 megawatts zitaenda kwa reli?
Why can't you help your fellow from Turkana who die of hunger daily, why you don't for millions of slums dweller and millions of chokora in your streets?
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Kama hamuwafukuzi maana yake mnawapenda kwanini msiwape uraia???Hatuna tabia ya kufukuza watu inchini unless its political.
Tunawatamani ili tuwageuze, kwasababu wengi mnaolewa na wazunguLeave alone the girls,hata ninyi tu humu mnatamani hawa vijana wa kikenya.
Baa la njaa humpata asiye na chakula.asiye na chakula ni masikini.masikini ndiye wa kusaidiwa kwanza.Who told you that they are dying of hunger? they have experienced food shortage ,but government intervened and the situation was normalisd .
Sehemu yenye pesa do attracts investors not beggars, omba omba huenda kwenye nchi ambayo ni ombaomba, Tanzania attracts investors from all over, including many Kenyans investors.Sasa si mnawatoaga mjini ili m'walete huku Kenya ambako kuna pesa mpewe msaada ndio mjenge nchi yenu.
Muhimu hapo ni kwamba tumeweza kulipia $3.1B toka katika mapato yetu, ninyi hata kupata $500M hamuwezi kila siku kukopa, truly failed stateWhite elephant at its best.mnajenga reli ya stima na ninyi wenyewe mnatumia generators? viwanda vitajengwa vitumie nini kama 1500 megawatts zitaenda kwa reli?
Nimeonelea nikuwe na umama kama Watanzania kumbe inakukera Susan?Mmeshindwa hoja za msingi mmeanza kupigania hoja hafifu kabisa...Diamond this diamond that acheni umama
naona una probox😀😀😀😀😀😀Uhahahhaha kwan umepata kombe au???
Haahhahahha ichoboy kiboko ya collo😀😀😀😀😀😀😀😀 Time ya bata batani
View attachment 718080
Weka Picha ya SGR imetengenezwa na hiyo $3.1b ama hata hizo pesa ni renders kama ujenzi???Muhimu hapo ni kwamba tumeweza kulipia $3.1B toka katika mapato yetu, ninyi hata kupata $500M hamuwezi kila siku kukopa, truly failed state
Diamond will never be Kenyan hata dunia iumbwe upya,,nyie nae si mnae jua Kali?? Komaeni na hao wasanii wenu ambao ngoma zao zinahiti mwisho kiberaPretendingView attachment 718076
binafsi nilishaipiga marufuku familia yangu kupika makande na mara ya mwisho kula yale makitu ni wakati nipo kenya.Ukiwaona wenyewe wanavyosifia githeri na ukiwaambia wabongo hatupendi sana hayo makitu (nilikuwa "polite" tuu kwa kusema hivyo maana makande ni chakula cha hali ya chini sana Tanzania) wanashangaa sana.
Diamond will never be Kenyan hata dunia iumbwe upya,,nyie nae si mnae jua Kali?? Komaeni na hao wasanii wenu ambao ngoma zao zinahiti mwisho kibera
