Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo anakuja kuchukua pesa safaricom haikumleta kenya bure anakuja kubeba alete nyumban aendelee kuekeza
Battle ipo Mombasa vs Dar es Salaam. Which is the biggest port in East Africa? jibu ni Mombasa usitokwe povu.
 
Tz limeshindwa kuikomboa bombardier $300m sembuse SGR ya $7b? Naskia bei ya Saruji imepanda Tz from pesa za madafu 15000 to 19000 kiss na maana ukosefu wa umeme...Hii inatokea kuwa Nchi ambayo inanuia kujenga bullet train ikiwa na umeme 1350MW. Hii Nchi ni vibonzo sana.
 
Mawazo uchwara unatafuta data kijanja janja eeh. ..
Saruji imepanda lini kufika tsh 15000? Saruji iko tsh 10000 hadi tsh 13000

Well kuhusu umeme nani alikwambia kuhusu 1350MW?tuko 2018 sio 2008
Last time nimeona ilikua 1750MW na Kinyerezi bado wanaendelea kufua umeme...
 
By the way,naskia nairobi inataka kutengeneza kinu cha kufua umeme,maana maji yanapatikana vizuti CBD pale mpaka mnafloat.
By the way,naskia nairobi inataka kutengeneza kinu cha kufua umeme,maana maji yanapatikana vizuti CBD pale mpaka mnafloat.

Tuna float kwa raha zetu,sisi si wajinga tukatae majanga yetu,tunakubali ndio tuperfect
 
Lol wengine wamemilikwa na Omani Arabs na hatulalamiki
Unaona sasa ulivo huna akili settler wa britain unasema mkenya???? Ndio maana hua tunakuambieni ardhi kenya imeshikwa na settlers pamoja na politicians

Settler kwenye arable land anapanda maua anaacha kupanda chakula kwa ajili yenu ndio maana njaa inawatafuta each day😀😀😀
 
Battle ipo Mombasa vs Dar es Salaam. Which is the biggest port in East Africa? jibu ni Mombasa usitokwe povu.
Hio port imeshindwa hata kuwajengea daraja watu wa likoni inafaida gani sasa ????

Tanzania ina port nne na inajenga giant ya 5 bagamoyo na ukumbuke port of mtwara and port hvi tunavozungumza ziko under huge expansion

Na hapo kumbuka tanga port iko kwenye ujenzi wa bomba la mafuta na pia wanataka kuitenga anga port iwe kwa ajili ya oil
 
Tz limeshindwa kuikomboa bombardier $300m sembuse SGR ya $7b? Naskia bei ya Saruji imepanda Tz from pesa za madafu 15000 to 19000 kiss na maana ukosefu wa umeme...Hii inatokea kuwa Nchi ambayo inanuia kujenga bullet train ikiwa na umeme 1350MW. Hii Nchi ni vibonzo sana.
Hatupotezi pesa Za watanzania kwenye kesi za kuundwa ndio maana tunataka kesi mpaka imalizike vzr na ukumbeke july 4 aircrafts Zinashuka

1760MW add 240 kinyerezi 2 done
Kinyerezi 3 underconstruction 400MW
 
Muhimu hapo ni kwamba tumeweza kulipia $3.1B toka katika mapato yetu, ninyi hata kupata $500M hamuwezi kila siku kukopa, truly failed state

Hizo billion 3 si ni zile mnachangisha kwa street zetu.
Sehemu yenye pesa do attracts investors not beggars, omba omba huenda kwenye nchi ambayo ni ombaomba, Tanzania attracts investors from all over, including many Kenyans investors.

We ukikimbia hapo kwa mfuga mbwa kwenda marekani ,ni nini huenda Ku invest huko ? kama si kuombaomba?
the same way mnakuja Kenya ,and the interesting part of it ni kwamba mnatumwa na ********.
 
Lol......mtatusi tu lakini soon we shall buy the cheap ass 40 billion dollar country of tanganyika

Eldoret tycoon acquires Tanzania tea firms for Sh6 billion
kilaza siku zote huwa mtu msahaulifu.
usiwe msahaulifu cos usahaulifu ni dalili ya ugonjwa kiakili.

jikumbushe na hii then rudi tujadili kuhusu huyo tycoon wa eldoret aliyenunua shamba la chai tz.

IMG_20180318_110748.jpg
IMG_20180318_110730.jpg
 
Back
Top Bottom