ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wow hahahha sasa slums"Subiri"...album ilishatolewa Kenya haitatolewa kwa slum ya dar slum fishing village LLDC tena
Wow hahahha sasa slums"Subiri"...album ilishatolewa Kenya haitatolewa kwa slum ya dar slum fishing village LLDC tena
Yani umelemewa hadi unatuma dinga...buda atakama nikuishiwa
Haha diamond afadhali aishi kibera kuliko keko mwangaWow hahahha sasa slums
View attachment 718072
Hehehe 😀😀😀 hio ni moja ya gari alionayo tanzania ziko nyingi sanaYani umelemewa hadi unatuma dinga...buda atakama nikuishiwa
Kibera hawez survive atakufa siku hio hioHaha diamond afadhali aishi kibera kuliko keko mwanga
Amenunua shamba ngong karibu na kibera...haha the guy hates his native countryKibera hawez survive atakufa siku hio hio
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Amepewa bure sio amenunua hahahhaAmenunua shamba ngong karibu na kibera...haha the guy hates his native countryView attachment 718073
Haha alibuy keja hapo pia anataka ajenge mokoro wake ..... Kumbe jamaa ni worth $4 million tu...hapa Nairobi ako chini sana hio pesa hawezi tishia waseeAmepewa bure sio amenunua hahahha
Hzo habari tunazo kitambo😀😀😀
Amezawadiwa ardhi na watu wenye njaa
Hatovaa bendera ya kenya kamwe hata mumpe ardhi ya kenyata yote hatavaa kamwe 😀😀PretendingView attachment 718076
Haha he hates that ass hole nationHatovaa bendera ya kenya kamwe hata mumpe ardhi ya kenyata yote hatavaa kamwe 😀😀
Naomba mpeni sana pesa alete nyumbani ajenge nchi
Na huyo ni msanii tu imagine heheh ameanza 5 yrs iliopita yani juzi tu😀😀😀😀Haha alibuy keja hapo pia anataka ajenge mokoro wake ..... Kumbe jamaa ni worth $4 million tu...hapa Nairobi ako chini sana hio pesa hawezi tishia wasee
Alianza 2010 ..8 yrs... Utadanganya nyanyakoNa huyo ni msanii tu imagine heheh ameanza 5 yrs iliopita yani juzi tu😀😀😀😀
Na bado anafanya wonders 😛😛😛😛
Wapi ameandika he hates hehehe😀😀Haha he hates that ass hole nationView attachment 718077
Wapi ameandika he hates hehehe😀😀
Mtu kwao munapenda vzr vyote viwe kweny hahahahhaa safari hii hamudanganyi dunia
Sasa hvi muradanganya nafsi zenu
Hio 2010 alikua anachipukia hajawa star ndugu diamond imemchukua almost 3 yrs mpaka kujilikana na kua star hehehe😀😀😀Alianza 2010 ..8 yrs... Utadanganya nyanyako
Uhahaha sioni hate heheh😀😀😀
Kwenda uko....nyumba huanziwa na foundation 2010 alianza foundation yake ...danganya watz wenzakoHio 2010 alikua anachipukia hajawa star ndugu diamond imemchukua almost 3 yrs mpaka kujilikana na kua star hehehe😀😀😀
Haha soma the first sentence ata kama haga inakuumaUhahaha sioni hate heheh😀😀😀
Au edit andika wewe basi😛😛😛😛